Sheria kuu 5 kwa mwanaume

Sheria kuu 5 kwa mwanaume

Maulanah aku rekhem, dunian na akhera. Hakuna aliyemjinga isipokua yule ampingaye allah na mtume wake mohamad
umenifata mwenyewe sasa vilio vyanini...? akurehemu wewe mwenyewe!
 
Hakika ewe kafiri, acha kutumainia akil zako. Mtegemee allah na uache uzinifu, maana zinaa ni uchafu, na wachafu wote ni hukumu siku ya kiama
Oya we niaje aisee.
Wapi nimeandika nazagamua??
Allah ndo kaandika hii comment yako au ni wewe kwa akili zako??
 
Ukuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life

1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za kujiendesha yeye kama yeye achana nae kebisa hafai ni mzigo

2: Usije uka msamehe mwanamke msaliti, hii nitairudia kwa herufi kubwa USOJE UKAMSAMEHE MWANAMKE MSALITI,

3: Kama una watoto usiache kupima DNA ,ni muhimu mnooo,

4: Usije ukaoa single mother , awe baba mtoto yupo hai au amekufa, ova

5: Ukimuomba mwanamke umuoe akasita kukubali hata kwa dakika au sekunde achana naye na usije ukaomba tena tafuta mwingine

Hizi ni nguzo tano kama zile nguzo nyingine hakikisha unazifuata kama unayapenda maisha Yako,

Nyongeza ni kuwa epuka wanawake wanye itikadi za kifeminist,
Msisitizo hapo namba 3 akikisha DNA unaenda kupima nje ya nchi hata Nairobi hapo gharama sio kubwa sana. DNA za bongo hata kama matokeo yakija negative unaambiwa ni mtoto wako, wenyewe wanasema.wanalinda masilahi ya mtoto
 
Wakuu mwamba kashatoa madini hiyo nambari moja acheni tu ni mateso makubwa..
 
Back
Top Bottom