KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
umenifata mwenyewe sasa vilio vyanini...? akurehemu wewe mwenyewe!Maulanah aku rekhem, dunian na akhera. Hakuna aliyemjinga isipokua yule ampingaye allah na mtume wake mohamad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umenifata mwenyewe sasa vilio vyanini...? akurehemu wewe mwenyewe!Maulanah aku rekhem, dunian na akhera. Hakuna aliyemjinga isipokua yule ampingaye allah na mtume wake mohamad
Ahaainshallah, nayo ni sunnah!! Sharti iliwe kiustaarab ndani ya ndoa tukufu
Oya we niaje aisee.Hakika ewe kafiri, acha kutumainia akil zako. Mtegemee allah na uache uzinifu, maana zinaa ni uchafu, na wachafu wote ni hukumu siku ya kiama
Msisitizo hapo namba 3 akikisha DNA unaenda kupima nje ya nchi hata Nairobi hapo gharama sio kubwa sana. DNA za bongo hata kama matokeo yakija negative unaambiwa ni mtoto wako, wenyewe wanasema.wanalinda masilahi ya mtotoUkuzifuata hizi Sheria hutokaa ufeli in life
1: Usifanye kosa la kuoa au kudate mwanamke asie na chanzo maalumu cha kipato. Yaani mwanamke hana kazi wala ka kibarua Cha umpa miambili mia tatu za kujiendesha yeye kama yeye achana nae kebisa hafai ni mzigo
2: Usije uka msamehe mwanamke msaliti, hii nitairudia kwa herufi kubwa USOJE UKAMSAMEHE MWANAMKE MSALITI,
3: Kama una watoto usiache kupima DNA ,ni muhimu mnooo,
4: Usije ukaoa single mother , awe baba mtoto yupo hai au amekufa, ova
5: Ukimuomba mwanamke umuoe akasita kukubali hata kwa dakika au sekunde achana naye na usije ukaomba tena tafuta mwingine
Hizi ni nguzo tano kama zile nguzo nyingine hakikisha unazifuata kama unayapenda maisha Yako,
Nyongeza ni kuwa epuka wanawake wanye itikadi za kifeminist,
Sie wote ni waja wake allah, mola mlezi, acha makufuru upate neema za allahOya we niaje aisee.
Wapi nimeandika nazagamua??
Allah ndo kaandika hii comment yako au ni wewe kwa akili zako??
Acha kusaka umaarufu kibwegenazi, shenzy.Sie wote ni waja wake allah, mola mlezi, acha makufuru upate neema za allah
Bin adamu woote wako sawa mbele ya allah, yeye ndiye molah wetu mlezi
Ni Allah sio allah.Bin adamu woote wako sawa mbele ya allah, yeye ndiye molah wetu mlezi
Ahsante sasa umeelewa somo, takbiiiiil!!!Ni Allah sio allah.
Hakika hilo tako lako kwenye picha ni silaha ya uzinifu. Zinaa ni uchafu , ewe binaadam, mgeukie molah akurehem.
Aliye kinyume na allah na mtume wake mohammad, huyo ni kafir, naye atachomwa moto siku ya kiama. Asalaam aleykumUzi ushaharibika
Mnaitana makafili tena
Au sioAliye kinyume na allah na mtume wake mohammad, huyo ni kafir, naye atachomwa moto siku ya kiama. Asalaam aleykum
TakbiiiiirAu sio
Basi sawa.