Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,206
- 18,549
Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police kuvaa kiraia wanapo kuwa kazini.
Mdai mmoja anasema hii ki kutikana na serikali kuchafuliwa na pia magenge ya kihuni yanachukua mwanya hapo kufanya mambo yao wakijifanya ni police.
HAtua hii inaweza kuwa ni hatua kubwa kwa usalama wa raia ambao sasa hawana uhakika na wanaonekana kuto liamini jeshi la police.