Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Hawanga muda, kitu hatutaki kuelewa ni kwamba Washakai hawana mud na sisi na shida zetu. Wanajua tu mpaka mwakani tutakuwa tushasahau kila kitu, watatuletea wasanii, tutafurahi, tutawachagua tena, tutapitishwa kwenye msoto tena, ni mzunguko usioisha.
Washajua watanzania ni wepesi tu, hata hii mada ya utekaji haitochukua hata week, tutahamishwa.
Kutaka kuishi kwa amani Tanzania: we jua tu washkaji hawana muda na sisi.
Washajua watanzania ni wepesi tu, hata hii mada ya utekaji haitochukua hata week, tutahamishwa.
Kutaka kuishi kwa amani Tanzania: we jua tu washkaji hawana muda na sisi.