Mashamba Makubwa Nalima
JF-Expert Member
- Mar 19, 2024
- 4,978
- 2,411
Kutafuta taarifa ni Kazi ya raia kama weweLabda iwe kazi ya kachero ni kutafuta taarifa tu, baada ya hapo magwanda waifanyie kazi.
Kuna majukumuu yabidi uvae ka Muuza miwa/madafu/karangaa ...etc
Jamii yetu ina mambo mengi sanaaa yalojifich
Shangaa na wewe bwashe, hawa watoto wa 2000 ni Bure kabisa.Kachero atavaaje uniform?
Story za kusadikikaKutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police kuvaa kiraia wanapo kuwa kazini.
Mdai mmoja anasema hii ki kutikana na serikali kuchafuliwa na pia magenge ya kihuni yanachukua mwanya hapo kufanya mambo yao wakijifanya ni police.
HAtua hii inaweza kuwa ni hatua kubwa kwa usalama wa raia ambao sasa hawana uhakika na wanaonekana kuto liamini jeshi la police.
Kwa Tanzania hiyo sheria inahitaji Tamko moja tu la Raisi ambalo halihitaji hata dakika 5 kama kweli anawapenda watanzania wenzake.Kutokana na matukio yanayo husisha watu wenye silaha na vifaa vya kijeshi/police kuhusika na matukio ya mauaji pamoja na utekaji.. kuna uwezekano mkubwa serikali kuja na sheria inayo zuia police kuvaa kiraia wanapo kuwa kazini.
Mdai mmoja anasema hii ki kutikana na serikali kuchafuliwa na pia magenge ya kihuni yanachukua mwanya hapo kufanya mambo yao wakijifanya ni police.
HAtua hii inaweza kuwa ni hatua kubwa kwa usalama wa raia ambao sasa hawana uhakika na wanaonekana kuto liamini jeshi la police.
Avae naafanye kazi yake,kwani inaonyesha wameshindwa kuwa walinzi kwa mazingira ya sasa.Kachero atavaaje uniform?
Ndio hawa UVCCM askari kanzuBongo kuna kachero?
Ukitaka Walinzi nenda Suma JKT 😀Avae naafanye kazi yake,kwani inaonyesha wameshindwa kuwa walinzi kwa mazingira ya sasa.
Kwa tulipofikia itabidi wauze miwa na uniform zao🤣🤣Kuna majukumuu yabidi uvae ka Muuza miwa/madafu/karangaa ...etc
Jamii yetu ina mambo mengi sanaaa yalojifich
Bwashee huangaliagi hata Senema? 😄😄Wanaotumiwa kukamata wavae sare zao na wafuate utaratibu na utaratibu huo ujulikane kwa wananchi...