Tetesi: Sheria mpya: Mwisho polisi kuvaa kiraia wakiwa kazini

Baba Vikosi kazi baba vikosi kazi.
 
Taarifa kama hizi muwe mnawaandikia wajinga

 
Bwashee huangaliagi hata Senema? 😄😄

Kwenye hizo "senema" huwa kunakuwa na askari wanaojitambulisha hata iwe wamevaa kiraia huwa ni detectives...

Kama ni zoezi la ukamataji lazima kuwe na askari wa uniform, hata iwe makachero watavaa tags au nembo ya ofisi ya ukachero wanayotokea...
 
Hao wanaoteka watu wasingekuwa polisi wangeshakamatwa. Naona hapa ndio unaona umetupoteza maboya ile mbaya.
 
Arresting ifanywe na wenye uniform, au wasio na uniform wakiambatana na wenye uniform.

Still there is a procedure kuhitaji mtu afike kituoni, they should not operate manually, and archaic
Hayo wafanyayo ndio sehemu ya kuhakikisha ccm inabaki madarakani kwa shuruti. Inshort wafanyacho ni maagizo ya serekali.
 
Umeambiwa au umetunga? Askari wa upelelezi, CID, hawavai uniform kutokana na aina ya kazi zao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…