Sheria mpya ya TISS tusijifanye vipofu wakati kumbe tunatawaliwa ama tunaenda kutawaliwa kijeshi

Aisee??? Hicho chama kitakuwa ni Act

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Hatari sana aisee

Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni HATARI!! Mtu utathubutuje kuomba kinga dhidi ya JINAI? Jinai ni uhalifu, huwezi kuomba kinga dhidi ya uhalifu!!. Ina maana uhalifu ni lazima utendeke kwenye kutekeleza majukumu ya kikazi?? Nani anaweza kutoa amri ya kutenda uhalifu?? Tunakokwenda siko!! Muswaada huu ukipita utawaweka TISS kwenye wakati mgumu sana!! Boss wake anaweza kumtaka aue na hii ikawa ni amri halali na atalazimika kuitii!! Tunakokwenda siko!!! Wabunge chonde chonde mna dhamana ya kuilinda nchi yetu na kuiepusha na laana kwa kukataa kupitisha sheria OVU!!.
 
Aisee hii inasikitisha sana
 
Uko sahihi wakati Lowasa akiwa Waziri Mkuu hakuwa fikiria umuhimu wa Tume Huru ya Uchaguzi mpaka alipokuja kulalama akiwa kama mpinzani.

Hadi leo anaumwa hajapona tena
 
Kwa nini nchi hii kila idara zinataka Kinga zidi ya makosa ya kijinai, Mnataka kufanya nini na nchi hii .Ilianzia bungeni Kwa spika na naibu wake, ikaeanda Kwa majaji Leo idara ya Usalama wa Taifa kesho itakuwa kwa polisi. Mwisho hata watendaji nao watapewa Kinga.
 
Ni kazi yenu raia kupambana sisi wenye majukumu ya kitaifa tunaona ni sawa vyombo vipewe nguvu zaidi
 
Tofauti ya TISS na mandata hawa wa bongo hamna tofauti kabisa kuanzia elimu yao na utashi wao!!wako washkaji kibao tunawajua tulikuwa nao mashuleni au mitaani ni vilaza na wavuta bange.leo hii sheria iwape meno makali hao wataingia hata benki na bunduki waibe pesa
 
Heee heeee suala la msingi ni kuishi kwa kufuata sheria na taratibu za nchi
Haya mabadiliko ni katika kuhakikisha amani tuliyonayo inaendelea kutawala
Omba usije pata pesa zile pesa kweli kweli,ndio utawajua hawa watu wanavyokera na ubabe wao

unafatwa at anytime hata ukiwa juu ya kiuno cha mtu unaombwa Bank statements za mwaka jana

as if kwako kuna bank... Kama huna basi mtakaa garden kule utapga nao story ukijibu maswali yao mpaka kukikarbia kukucha ndio wanaondoka.

Yani huwezi elewa hawa watu walivyo na ubabe mwingi,wanaruhusa ingia kwako without any notice toka popote na muda wowote na ukawajibu maswali wanayotaka.

sio wastarabu at all maana wengi damu zinachemka,misifa mingi...Kimtaani akitoka Rais cheo inafata n hao majamaa hata uwe na namba ya bamkubwa ako,rafik ako ana mikasi mabegani haongei chochote kwa hao mamwera wakishakutmbia.

Haya mamlaka wanayoenda ongezewa,tutakuta watu wanajiua kila siku,Hizi kesi za watu kujiua msizchukulie easy easy ni hiyo mijamaaa....
 
Bado moyo wangu unakwenda mbio!! Mtu anaomba kinga dhidi ya jinai? ana mpango wa kuamru jinai gani? Chonde chonde kumbukeni na ninyi mnaotaka kinga dhidi ya jinai/uhalifu ni binadamu pia, na Mungu anawaona!
 
Mkigombania demu halafu afisa wa Idara akakupiga risasi ukafa, Afisa alikua anatekeleza majukumu yake na alikua na nia njema. WTF?
 
  • Kuna Utawala wa Sheria na Kutawala kwa Sheria; nahisi tunarudi kwenye Kutawala kwa Sheria (kama awamu ile ....)
  • Lengo kuu la sheria ni kufanya jamii itawalike; upatikanaji wa haki ni ziada. Ndio utasikia "haki utaipata mbinguni".
 
Kwenye ile Kesi ya Mauaji Mwanza ya mwaka 1976, Dingi wangu alikuwepo, salama yake ni Wakili Murtaza Lakha, akachomoka, lakini wengine wote walikula mvua za kutosha!. Sasa hakuna kushitakiwa!.
P
Hii sheria itaenda kuwalinda Watu watakaofanya mauaji kama ile operesheni tokomeza. Ni sheria ya kidhalimu sana.

Hii nchi inashangaza, badala ya kujitahidi kila mmoja ndani ya nchi awe held accountable na sheria, watawala wanatengeneza mfumo wa baadhi ya watu kuwa untouchable!.

Wakiendelea na mtindo huu wa kutaka sheria ziwabane wengine ila wengine wawe juu ya sheria, wanajchi wataanza kujichukulia sheria mkononi. Kila mtu ana familia, Unaumiza Bread winner wa mtu fulani na yeye anakuwinda anakumaliza. Tutakuja kufikia huko kwa sababu ya tabia kama hizi za kutengeneza impunity kwa baadhi ya watu!
 
Naunga mkono hoja
P
 
Reactions: Ame
Hapa na mimi nimeelewa what you mean...Sijui tutatokaje kwenye haya mambo, maana kuna shida pia kwa Wao kuwa wapendwa watazamaji na washauri tu na pia zile care of zinakuwa abused...Its a big dilemma!
 
Kwanini Katiba mpya inakuwa ngumu kuwezekana lakini hizi sheria inakuwa rahisi kupelekwa bungeni?

Hii state capture inavyunjwaje wapendwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…