Geofre Maseta
JF-Expert Member
- Dec 27, 2022
- 881
- 1,632
Aisee??? Hicho chama kitakuwa ni ActAwali hakuwa na tamaa ya nafasi ya juu ya uongozi wa nchi. Lakini mara tu baada ya kuonyesha kutokuwa tamaa hiyo inaelekea kuna watu walishtuka na kujawa na hofu ya mustakabali wao kisiasa na kiutumishi. Inaelekea aliwekwa kiti moto na kuaminishwa kuwa kwa mtaji huo alikuwa anahatarisha uhai wa chama chake na uimara (stability) wa nchi! Bila shaka walioshiriki kwa karibu zaidi kumbadilisha mtazamo ni hao hao ambao katika utawala wa awamu ya tano walitumiwa vibaya kuuhami uongozi wa kisiasa dhaifu ambao ulivilamisha vyombo kufanya uhalifu wa makosa ya jinai kwa kisingizio cha kutekeleza majukumu ya usalama wa taifa! Aidha kiongozi ameaminishwa pia kutumia kuna fursa ya upande wa pili wa nchi kuendelea kutoa kiongozi mkuu wa nchi!. Kwa mantiki hii, zipo dalili za Chama cha upinzani chenye nguvu upande mmoja tu nchi kuungana na chama chenye serikali kuiunga serikali mkono serikali iliyopo madarakani. Aidha chama hicho cha upinzani kimetamka kuwa haina nia ya kuwa na mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano 2025.
Sent from my DRA-LX5 using JamiiForums mobile app