Sheria mpya ya TISS tusijifanye vipofu wakati kumbe tunatawaliwa ama tunaenda kutawaliwa kijeshi

Bado moyo wangu unakwenda mbio!! Mtu anaomba kinga dhidi ya jinai? ana mpango wa kuamru jinai gani? Chonde chonde kumbukeni na ninyi mnaotaka kinga dhidi ya jinai/uhalifu ni binadamu pia, na Mungu anawaona!
Na mimi naanza kuona mashaka...
 
Usitegemee Bunge hili lililopo kwamba linaweza kukataa kupitisha Sheria hii ya kidhalimu. Kwa kifupi ni kwamba Sheria hii tayari imepita, dawa au suluhisho pekee kwa wananchi ili kujinusuru na dhahama ya Sheria hii iko mikononi mwao wenyewe. Njia pekee ambayo ni salama iliyobaki ni wananchi wenyewe(kila mtu kwa nafsi yake) achukue sheria mkononi ili kujilinda au kujihami dhidi ya uovu huu unaokuja. Now, it is an individual duty to fight hard against this oppressive law, and if it's possible to fight up-to-win or up to death. Muhimu kuzingatia; watu walioanzisha taasisi kama vile Al-Qaeda, Boko-Haram au Al-Shabab hawakuwa wendawazimu. Walifanya hivyo baada ya kulazimishwa na mazingira na hali halisi ambazo ni mbaya sana zilizokuwapo ktk nchi zao kwa lengo la kujilinda au kujihami.
 
Wewe umeongea point. Hakuna maana tena ya wananchi kuheshimu sheria kama kuna baadhi ya watu wako juu ya sheria.

Kama wanaona wengine wako juu ya Sheria basi tutaaply sheria ya Mungu, ya KISASI NI HAKI. Kama unadhuru watu kisha unapewa kinga, basi fahamu tu na wewe UTAWINDWA kimyakimya!. Hakuna tena kulea upumbavu.

Ukiona watu wanatafuta KINGA ya jinai ujue sasa wana MPANGO na na nia OVU ya kutenda JINAI mbaya sana
 
Dawa ni kwenda nao jino kwa jino, jicho kwa jicho, jeraha kwa jeraha mpaka kieleweke, hakuna unyonge wala kuogopana. Action and reaction are equal but opposite in directions.
Dhulma daima huvutia visasi, na kulipa kisasi ni haki kwa yule aliyedhulumiwa haki zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…