Na mimi naanza kuona mashaka...Bado moyo wangu unakwenda mbio!! Mtu anaomba kinga dhidi ya jinai? ana mpango wa kuamru jinai gani? Chonde chonde kumbukeni na ninyi mnaotaka kinga dhidi ya jinai/uhalifu ni binadamu pia, na Mungu anawaona!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na mimi naanza kuona mashaka...Bado moyo wangu unakwenda mbio!! Mtu anaomba kinga dhidi ya jinai? ana mpango wa kuamru jinai gani? Chonde chonde kumbukeni na ninyi mnaotaka kinga dhidi ya jinai/uhalifu ni binadamu pia, na Mungu anawaona!
Usitegemee Bunge hili lililopo kwamba linaweza kukataa kupitisha Sheria hii ya kidhalimu. Kwa kifupi ni kwamba Sheria hii tayari imepita, dawa au suluhisho pekee kwa wananchi ili kujinusuru na dhahama ya Sheria hii iko mikononi mwao wenyewe. Njia pekee ambayo ni salama iliyobaki ni wananchi wenyewe(kila mtu kwa nafsi yake) achukue sheria mkononi ili kujilinda au kujihami dhidi ya uovu huu unaokuja. Now, it is an individual duty to fight hard against this oppressive law, and if it's possible to fight up-to-win or up to death. Muhimu kuzingatia; watu walioanzisha taasisi kama vile Al-Qaeda, Boko-Haram au Al-Shabab hawakuwa wendawazimu. Walifanya hivyo baada ya kulazimishwa na mazingira na hali halisi ambazo ni mbaya sana zilizokuwapo ktk nchi zao kwa lengo la kujilinda au kujihami.Hii ni HATARI!! Mtu utathubutuje kuomba kinga dhidi ya JINAI? Jinai ni uhalifu, huwezi kuomba kinga dhidi ya uhalifu!!. Ina maana uhalifu ni lazima utendeke kwenye kutekeleza majukumu ya kikazi?? Nani anaweza kutoa amri ya kutenda uhalifu?? Tunakokwenda siko!! Muswaada huu ukipita utawaweka TISS kwenye wakati mgumu sana!! Boss wake anaweza kumtaka aue na hii ikawa ni amri halali na atalazimika kuitii!! Tunakokwenda siko!!! Wabunge chonde chonde mna dhamana ya kuilinda nchi yetu na kuiepusha na laana kwa kukataa kupitisha sheria OVU!!.
Wewe umeongea point. Hakuna maana tena ya wananchi kuheshimu sheria kama kuna baadhi ya watu wako juu ya sheria.Usitegemee Bunge hili lililopo kwamba linaweza kukataa kupitisha Sheria hii ya kidhalimu. Kwa kifupi ni kwamba Sheria hii tayari imepita, dawa au suluhisho pekee kwa wananchi ili kujinusuru na dhahama ya Sheria hii iko mikononi mwao wenyewe. Njia pekee ambayo ni salama iliyobaki ni wananchi wenyewe(kila mtu kwa nafsi yake) achukue sheria mkononi ili kujilinda au kujihami dhidi ya uovu huu unaokuja. Now, it is an individual duty to fight hard against this oppressive law, and if it's possible to fight up-to-win or up to death. Muhimu kuzingatia; watu walioanzisha taasisi kama vile Al-Qaeda, Boko-Haram au Al-Shabab hawakuwa wendawazimu. Walifanya hivyo baada ya kulazimishwa na mazingira na hali halisi ambazo ni mbaya sana zilizokuwapo ktk nchi zao kwa lengo la kujilinda au kujihami.
Dawa ni kwenda nao jino kwa jino, jicho kwa jicho, jeraha kwa jeraha mpaka kieleweke, hakuna unyonge wala kuogopana. Action and reaction are equal but opposite in directions.Wewe umeongea point. Hakuna maana tena ya wananchi kuheshimu sheria kama kuna baadhi ya watu wako juu ya sheria.
Kama wanaona wengine wako juu ya Sheria basi tutaaply sheria ya Mungu, ya KISASI NI HAKI. Kama unadhuru watu kisha unapewa kinga, basi fahamu tu na wewe UTAWINDWA kimyakimya!. Hakuna tena kulea upumbavu.
Ukiona watu wanatafuta KINGA ya jinai ujue sasa wana MPANGO na na nia OVU ya kutenda JINAI mbaya sana