nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
UKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu
1. Kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa,
2. Kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa
3. Kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa mirath ipo siku utarudi 0 kimaisha,
4. Kama kuna siku ulitengeneza connection kimaisha kwa watu ipo siku utapata connection
Sheria ya asili haiongopi, USIJIFNAYE MJANJA
Mfano ukirusha jiwe juu lazima lirudi chini kwa sasa babu ya force of gravity inavuta vitu chini hata iwe simu ya waziri mkuu itarudi tu chini, SHERIA YA asili UTAVUNA ULICHOPANDA haijalishi miaka ipo siku utaona madhara.