Sheria ya asili ya kufanikiwa kimaisha utavuna ulichopanda

Sheria ya asili ya kufanikiwa kimaisha utavuna ulichopanda

Jamaa umeni

Jamaa umenitisha mno
Ukweli ndio huo mkuu.. ukitenda jambo jema kwa mtu, umeweka hazina ya kitu/jambo jema mbele ya safari yako ya maisha.
Na ukizulumu mtu leo, nawewe utazulumiwa tu au utapoteza kitu au kuingia hasara kwa namna yoyote.
 
Hahaa kwamba hatuna matatizo? Yanayo onekana? Ulishawahi jiuliza why baadhi ya familia au koo zina matatizo yanayofanana?
Kwa nini wazungu waliotuburuza wanaendelea kula raha mustarehe huku sisi tulioburuzwa tukiteseka 😅.
 
Ukweli ndio huo mkuu.. ukitenda jambo jema kwa mtu, umeweka hazina ya kitu/jambo jema mbele ya safari yako ya maisha.
Na ukizulumu mtu leo, nawewe utazulumiwa tu au utapoteza kitu au kuingia hasara kwa namna yoyote.
Kwa nini wewe unamdhulumu huyo wakati yeye hajawahi kumdhulumu mtu.
 
Kwa nini wazungu waliotuburuza wanaendelea kula raha mustarehe huku sisi tulioburuzwa tukiteseka 😅.
Starehe na raha ni subjective issue

La si hivyo wazungu hawa ninao waona huku kwao, wanateseka kama kawa
Tofauti wao wametengeneza standards (matabaka)

Ukifanikiwa umefanikiwa kweli, ukifilisika unarudi kuwa homeless kabisa

Else unabaki middle income uchumi wa kuednesha familia

Shida zipo pale pale, ila wanazifunika sana, na huko nyumban wamefanya kuwaaminisha watu weusi kwa kuonyesha upande mzuri tu

Hawawaonyesh reality
 
Ila sometimes mimi naamini kwenye survival for the fittest 😎, lakini kwa pia ukimtendea mtu mabaya kwa mfano kufanya dhuluma, siku za baadaye unaweza ukakosa amani na ari ya kupambana na ndipo utakaposhuka kiuchumi au kuharibukiwa kwani unakuwa unajiona mwenye hatia.

Lakini ukifanya makosa kama kuhujumu uchumi au ufisadi hutapata shida maana hujamwibia mtu binafsi hivyo hutajuta sana, kwa hiyo mimi naona kinacholeta anguko ni kule kujutia makosa uliyoyafanya zamani.
 
anyway tufanye tunahusisha matukio, kwanini mara nyingi yajirudie yale tunayohusisha na siyo mengine?
Kwa sababu matukio hayachagui mtu wa kumtokea kwa mfano ukiua mtu nawe ukauawa watu watasema ni laana lakini ukiwauliza kuwa yule wa kwanza kuuawa alikuwa na laana gani hawatakupa jibu.
 
Back
Top Bottom