Sheria ya asili ya kufanikiwa kimaisha utavuna ulichopanda

Sheria ya asili ya kufanikiwa kimaisha utavuna ulichopanda

UKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu

1.kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa,

2.kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa
3.kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa mirath ipo siku utarudi 0 kimaisha,

4. kama kuna siku ulitengeneza connection kimaisha kwa watu ipo siku utapata connection


sheria ya asili haiongopi, USIJIFNAYE MJANJA

mfano ukirusha jiwe juu lazima lirudi chini kwa sasa babu ya force of gravity inavuta vitu chini hata iwe simu ya waziri mkuu itarudi tu chini, SHERIA YA asili UTAVUNA ULICHOPANDA haijalishi miaka ipo siku utaona madhara.
Kuongezea kama halitokupata, litawapata watakaofuata baada ya wewe, watoto,wajulii au ndugu
 
Je, nikimfanyia mtu mabaya nikafa mapema kabla balaa halijanirudia itakuwaje?
 
Tutolee ubishi wa kindezi hapa, ulizaliwa vipi peke ako 😂 unakanyagwa wakati mwingine dogo eeh
Katika familia nikiwa mtoto pekee halafu nikamtendea mtu mabaya halafu nikafa Kabla hayo mabaya hayajanirudia itakuwaje?
 
Litawapata wote unao husiana nao kwenye bloodline line yako, kuzaliwa , kuna ndugu related , ile bloodline yenu
Hapo nakataa mkuu,
Kama ingekuwa hivyo basi wote tungekumbwa na matatizo maana watu tunao share nao blood wanaofanya maovu ni wengi.

Mbona wazungu walituonea sana na bado wanadunda tu au hii ni special kwa ajili ya waafrika tu 😎.
 
Hapo nakataa mkuu,
Kama ingekuwa hivyo basi wote tungekumbwa na matatizo maana watu tunao share nao blood wanaofanya maovu ni wengi.

Mbona wazungu walituonea sana na bado wanadunda tu au hii ni special kwa ajili ya waafrika tu 😎.
Hahaa kwamba hatuna matatizo? Yanayo onekana? Ulishawahi jiuliza why baadhi ya familia au koo zina matatizo yanayofanana?
 
Back
Top Bottom