Sheria ya asili ya kufanikiwa kimaisha utavuna ulichopanda

Sheria ya asili ya kufanikiwa kimaisha utavuna ulichopanda

UKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu

1. Kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa,
2. Kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa
3. Kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa mirath ipo siku utarudi 0 kimaisha,
4. Kama kuna siku ulitengeneza connection kimaisha kwa watu ipo siku utapata connection

Sheria ya asili haiongopi, USIJIFNAYE MJANJA

Mfano ukirusha jiwe juu lazima lirudi chini kwa sasa babu ya force of gravity inavuta vitu chini hata iwe simu ya waziri mkuu itarudi tu chini, SHERIA YA asili UTAVUNA ULICHOPANDA haijalishi miaka ipo siku utaona madhara.
Sio lazima. Kuna watoto wasio na hatia wanaumizwa na kuuwawa huko Gaza.. je na wao waliumiza watu?
 
Ukiuziwa pombe na wewe utakuja kuuza pombe. Au siyo? 🤔
 
Nimekupata kwa mbali lakini kwa nini kosa la Mtu mmoja liathiri watu wengine?
Damu mkuu, kuna vingine havilipiki kwako, kwa mfano mwanaume unanyanyasa kingono watoto wadogo unawatumia then unasepa huoi, jamii inakulalamikia unawafungia vioo. unategemea irudi kwako eti wanawake nao wakuchezee wakuache bila kukuoa?😁😁

Unakuta miaka imeenda weeee ukaamua kusettle na mwanamke mmoja ukaoa, ghafla bin vuu unazaa watoto wako wote wa kike, life lao wanalopitia ni lile ulilokuwa unawafanyia wengine. Too bad wakati huo we unakuwa uko humble kinoma yaan life lako limetulia na umesahau, jamii nayo inakuwa kama haikuzingatii kwa wanao.

Yaani unajikuta majuto unayopitia ni makubwa kuliko wanao wenyewe. Sasa umeona namna inanyohamia kwenye damu yako/ kwa wengine?

Usipoelewa na hii ndo basi tena 😂😂😂
 
Ila kama sheria hii ni ya kweli basi haijakaa sawa. Mtu anayepaswa kuadhibiwa ni mwenye kosa na siyo watu wengine ambao hawana hatia.
 
Back
Top Bottom