nipo online
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 1,509
- 3,429
Hii nakataaUkitembea na mke wa mtu, na wewe mke wako atapigwa show tu anywhere anytime.
Pole kwa masahibuUKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu
1.kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa,
2.kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa
3.kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa mirath ipo siku utarudi 0 kimaisha,
4. kama kuna siku ulitengeneza connection kimaisha kwa watu ipo siku utapata connection
sheria ya asili haiongopi, USIJIFNAYE MJANJA
mfano ukirusha jiwe juu lazima lirudi chini kwa sasa babu ya force of gravity inavuta vitu chini hata iwe simu ya waziri mkuu itarudi tu chini, SHERIA YA asili UTAVUNA ULICHOPANDA haijalishi miaka ipo siku utaona madhara.
ukweli mchunguHii nakataa
kazi ipoTafuta kazi
sheria ya asiliKwahyo kama sijawahi kuumiza mtu mimi sitoumizwa au...?
Mda huu ungetafuta kazi ya kuvuja jasho
Unakalilisheria ya asili
Hii haiapply kwa Msoga na Bumbuli lineUKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu
1.kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa,
2.kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa
3.kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa mirath ipo siku utarudi 0 kimaisha,
4. kama kuna siku ulitengeneza connection kimaisha kwa watu ipo siku utapata connection
sheria ya asili haiongopi, USIJIFNAYE MJANJA
mfano ukirusha jiwe juu lazima lirudi chini kwa sasa babu ya force of gravity inavuta vitu chini hata iwe simu ya waziri mkuu itarudi tu chini, SHERIA YA asili UTAVUNA ULICHOPANDA haijalishi miaka ipo siku utaona madhara.
Nakula wake za watu halafu sina mpango wa kuoa, mke wangu watamlia wapi?Ukitembea na mke wa mtu, na wewe mke wako atapigwa show tu anywhere anytime.
Hili lina ukweli kiasi majamaa zangu wengiUkiwa unachezea wadada lazima uzae watoto wa kike malaya.
Kuna umri utafika, utahitaji tu kuoa au kuishi na mwanamke, hapo ndo atakapo pigwa show anywhere anytimeNakula wake za watu halafu sina mpango wa kuoa, mke wangu watamlia wapi?
Jibu kama mtu aliyelewa smart gin
Bado unaimani na mwanamke karne hii, 😂 , kama uyo mke wa mtu anakupa show, na mke wako kuna somewhere atatongozwa na atavua chipi wahuni watakula.Hii nakataa
Ipo relevant sana, sema wana wanakaza fuvu tuUkitembea na mke wa mtu, na wewe mke wako atapigwa show tu anywhere anytime.