Sheria ya asili ya kufanikiwa kimaisha utavuna ulichopanda

Kuongezea kama halitokupata, litawapata watakaofuata baada ya wewe, watoto,wajulii au ndugu
 
Je, nikimfanyia mtu mabaya nikafa mapema kabla balaa halijanirudia itakuwaje?
 
Tutolee ubishi wa kindezi hapa, ulizaliwa vipi peke ako πŸ˜‚ unakanyagwa wakati mwingine dogo eeh
Katika familia nikiwa mtoto pekee halafu nikamtendea mtu mabaya halafu nikafa Kabla hayo mabaya hayajanirudia itakuwaje?
 
Hakuna kitu kama hicho
 
Litawapata wote unao husiana nao kwenye bloodline line yako, kuzaliwa , kuna ndugu related , ile bloodline yenu
Hapo nakataa mkuu,
Kama ingekuwa hivyo basi wote tungekumbwa na matatizo maana watu tunao share nao blood wanaofanya maovu ni wengi.

Mbona wazungu walituonea sana na bado wanadunda tu au hii ni special kwa ajili ya waafrika tu 😎.
 
Hahaa kwamba hatuna matatizo? Yanayo onekana? Ulishawahi jiuliza why baadhi ya familia au koo zina matatizo yanayofanana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…