MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Sio lazima. Kuna watoto wasio na hatia wanaumizwa na kuuwawa huko Gaza.. je na wao waliumiza watu?UKIBISHA HAPA HUTOBOI mkuu
1. Kama uliumiza watu kuna siku utaumizwa,
2. Kama ulisaidia watu kuna siku utasaidiwa
3. Kama ulikdhurumu watoto kwa Mali za wazazi wao wakati ulikua msimamizi wa mirath ipo siku utarudi 0 kimaisha,
4. Kama kuna siku ulitengeneza connection kimaisha kwa watu ipo siku utapata connection
Sheria ya asili haiongopi, USIJIFNAYE MJANJA
Mfano ukirusha jiwe juu lazima lirudi chini kwa sasa babu ya force of gravity inavuta vitu chini hata iwe simu ya waziri mkuu itarudi tu chini, SHERIA YA asili UTAVUNA ULICHOPANDA haijalishi miaka ipo siku utaona madhara.
Huyu haondoki hapa yupo kwenye ule Uzi wa akina lisu kule.secretarybird nisaidie jamaa asileft
Hahahaha nipo juu ya mtumbwi navua labda uniambie what's happening manWe jamaa angalia ITV uone kesi ya lisu huko unaambiwa mambo so poa mwanangu
Mi napambania matangazo yalushwe kwa redio mkuuHahahaha nipo juu ya mtumbwi navua labda uniambie what's happening man
Hahahaha ndege ni mwandishi wa HabaliMi napambania matangazo yalushwe kwa redio mkuu
Damu mkuu, kuna vingine havilipiki kwako, kwa mfano mwanaume unanyanyasa kingono watoto wadogo unawatumia then unasepa huoi, jamii inakulalamikia unawafungia vioo. unategemea irudi kwako eti wanawake nao wakuchezee wakuache bila kukuoa?ππNimekupata kwa mbali lakini kwa nini kosa la Mtu mmoja liathiri watu wengine?
Watakugongea kwa watoto wako wa kikeNakula wake za watu halafu sina mpango wa kuoa, mke wangu watamlia wapi?
Jibu kama mtu aliyelewa smart gin
Ila kama sheria hii ni ya kweli basi haijakaa sawa. Mtu anayepaswa kuadhibiwa ni mwenye kosa na siyo watu wengine ambao hawana hatia.Damu mkuu, kuna vingine havilipiki kwako, kwa mfano mwanaume unanyanyasa kingono watoto wadogo unawatumia then unasepa huoi, jamii inakulalamikia unawafungia vioo. unategemea irudi kwako eti wanawake nao wakuchezee wakuache bila kukuoa?ππ
Unakuta miaka imeenda weeee ukaamua kusettle na mwanamke mmoja ukaoa, ghafla bin vuu unazaa watoto wako wote wa kike, life lao wanalopitia ni lile ulilokuwa unawafanyia wengine. Too bad wakati huo we unakuwa uko humble kinoma yaan life lako limetulia na umesahau, jamii nayo inakuwa kama haikuzingatii kwa wanao.
Yaani unajikuta majuto unayopitia ni makubwa kuliko wanao wenyewe. Sasa umeona namna inanyohamia kwenye damu yako/ kwa wengine?
Usipoelewa na hii ndo basi tena πππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π Jf ukifa na stress unajitakiaKama nilizaliwa peke yangu na sikubahatika kupata watoto itakuwaje.
Haya mambo yanaumiza sana kichwa mkuu π π .π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π Jf ukifa na stress unajitakia
Ndio hapo, nguvu ya asili inapoingilia katiKwa nini wewe unamdhulumu huyo wakati yeye hajawahi kumdhulumu mtu.
π π πNdio hapo, nguvu ya asili inapoingilia kati