jkipaji
JF-Expert Member
- Sep 22, 2019
- 6,963
- 9,401
Kwenye Serekali ya kiria matamko ya Jeshi hayana nguvu sana Kama matamko ya kisiasa, wanasiasa ndiyo wenye Nchi yao, la sivyo mkitaka matamko yenu yawe na nguvu na nyinyi pinduweni Serekali ya kiria tujuwe kua Sasa tunatawaliwa kijeshi na si kiraia tena!!Ndugu, sipingi maoni yako kwamba ni Mambo ya kizamani.Kama unaona ni Mambo yaliopitwa na wakati,hakuna aliyekukataza kuvaa.Jeshi halijakurupuka kutangaza jambo hili.Imefika wakati wa kutoufautisha matamko ya kisiasa na ya kijeshi.Nawashauri wanaoona kwamba haya ni Mambo ya kizamani WAVAE Weekend njema
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app