Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

Kwenye Serekali ya kiria matamko ya Jeshi hayana nguvu sana Kama matamko ya kisiasa, wanasiasa ndiyo wenye Nchi yao, la sivyo mkitaka matamko yenu yawe na nguvu na nyinyi pinduweni Serekali ya kiria tujuwe kua Sasa tunatawaliwa kijeshi na si kiraia tena!!

Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
 
Usalama wa taifa wa Tanzania unatia aibu just stupid people wasio na uzalendo kabisa; wanaonangaika na uniform za raia.
Yaani inatia kinyaa. Mbumbumbu wasiojua chochote ndiyo hawa wanashupalia brand ya mavazi utadhani wanamitindo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…