Sheria ya kusoma shule kuu ya sheria yaondolewa

Sheria ya kusoma shule kuu ya sheria yaondolewa

Hapo ni kwamba ukiwa na degree ya law waweza fanya kila kitu Kama wakili anavyofanya no limitation

School of law itakuepo Ila itakuwa sio lazima uende huko ndo upate muhuri au kufanya majukukumu mengine
Kwamba watakao penda waende wenyewe Law School duh mbona kama kuna mtego hapa kwa wasio kwenda
 
Rasmi sasa ili kua wakili sio lazima kusoma shule kuu ya sheriaView attachment 3082157View attachment 3082158
Mkuu sio kweli ,mabadiliko ya sheria hiyo maana yake ni kuwa hapo awali ilikuwa ni lazima mtu yoyote aliyesoma LL.B ili ni lazima apite law school ili aweze kuajiliwa serikalini Kwa maana nyingine Kwa mtu aliyesoma LL.B tu ilikuwa haiana maana kwako Kwa habari ya kupata ajira popote Tanzania ,Sasa sheria hiyo imefungua mlango kuwa kama unataka kuwa wakili tu ndio utaenda law school ila kama ni legal officer au kada nyingine haitakukataza kuajiliwa hata ukiwa na LL.B ,Ila utaweza kupata mafunzo maalum ambayo sio kama Yale ya mawakili lakini utarat8bu wa mawakili kupatikana ni ule ule
 
Back
Top Bottom