Sheria ya kusoma shule kuu ya sheria yaondolewa

Mkuu sio kweli ,mabadiliko ya sheria hiyo maana yake ni kuwa hapo awali ilikuwa ni lazima mtu yoyote aliyesoma LL.B ili ni lazima apite law school ili aweze kuajiliwa serikalini Kwa maana nyingine Kwa mtu aliyesoma LL.B tu ilikuwa haiana maana kwako Kwa habari ya kupata ajira popote Tanzania ,Sasa sheria hiyo imefungua mlango kuwa kama unataka kuwa wakili tu ndio utaenda law school ila kama ni legal officer au kada nyingine haitakukataza kuajiliwa hata ukiwa na LL.B ,Ila utaweza kupata mafunzo maalum ambayo sio kama Yale ya mawakili lakini utarat8bu wa mawakili kupatikana ni ule ule
Bora umewafafanulia vilaza
 
Wengi hawajaelewa bora umewafafanulia, watu wa LLB ni muda wao kupata ajira bila ya kwenda Law school…
 
Back
Top Bottom