Sheria ya kusoma shule kuu ya sheria yaondolewa


Nimesomea sheria na kufanya kazi Mahakamani, Firm na kwenye Jamii.

Ninaandika nilichokishuhudia toka kwenye Miswada, Bungeni, Serikalini na Mahakamani.
 
Well Said
 
Wakati tunamaliza form six miaka ile ya 1986 ili kusoma medicine walianzisha kitu kinaitwa remedial course jamaa yangu mmoja pamoja na kufaulu vizuri PCB hii kozi ilimtoa.
Akatumia mbinu zake akaenda kusoma urusi karudi nchini kasoma kozi zingine tena kwa sasa ni proffessor na ni lecturer wa medicine.
Hivi na ile ya walimu iliishia wapi?
Kitu kikipangwa kisiasa kinakuwa cha hovyo sana mfano ule mpango wa UPE miaka ileeeeeee?
 
Aibu.

Yaani suluhu ya wanafunzi kufeli ni kuiondoa hiyo shule??

Tunajenga Taifa la namna gani ?? Ambalo watu wanakwepa changamoto badala ya kukabiliana nazo??
Kwani China,Dubai na USA wamejenga taifa la namna Gani baada ya kutokea vipaumbele kwenye hayo maprofesionally zaidi ya professional zenye tija katika nyanja za Science na teknolojia?
 
Wewe kweli ndo kilaza na kihio namba Moja kwa hyo kumbe unaamini Kila mtu anayefeli kwa makaratasi ya darasani Hana akili na weledi? Wewe nkikuuliza hyo taaluma yako toka umeipata umeshaleta mabadiliko mangapi kwenye taifa lako unitajie matatu tu na Mimi nitajipima wendawazimu wangu.Suala la hyo shule yenu na walimu wenu wenye mentality duni kujisifia kufelisha Bado haigurantee nafasi ya mtu mwenye bachelor degree from UNI yoyote kwamba Hana uwezo na ndo maana elewa kitu kinaitwa Added Advantage anaeweza akaweza Sijui Hakimu na mtu ambaye huo muhuri Hana na akapiga kazi vizuri na kwa weledi mfano mzuri Mimi ni mhasibu na CPA nko nayo na Kuna mwenzangu ni kishoka tu na Hana hata CPA lakini anapata Hela zaidi yangu tupo nae hapa mjini ndo utajua hujui na wewe na huo muhuri wako wa Afutatu Oiiii!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…