lukesam
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 12,661
- 26,457
The amendment therein haizungumzii uliyopost mkuu, ukitaka kuwa mwanasheria njia bado ni ile ile. Vijana mlio vyuoni someni kama hakuna kesho, Utajuaje kuexecute or present critical cases kotini usipojua vitendo. LST ndiyo kichungi, jikaze na utafaulu tu, ile shule ni simple sana kwa mtu aliyemakinika.
Watanzania wengi wana tatizo la uelewa, na waandishi wa habari ndio tatizo kabisa, na ndio fani inayoelekea shimoni kwa sasa. Hawafanyi tafiti, hawasomi, wakipata kichwa cha habari wana habari nzima. Unaweza kuona vile wamepotosha hii habari. Na kwakuwa watanzania ni wazee wa kusoma vichwa vya habari basi nao wameruka nayo na kuondoka na taarifa ya kichwa cha habari.