Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vyuo havitoshi kutengeneza wana sheria na mawakiri bora?Siungi mkono, LAW SCHOOL ni 'check and balance' kwa taaluma ya SHERIA ili kupata WANASHERIA NA MAWAKILI BORA kutokana. na masomo kwa vitendo
Elezea kidogo.. nikuelewe.Akili yako imerogwa na mkoloni... Na bahati mbaya uchawi wa mkoloni ni wakurithi... Unatembea kizazi hadi kizazi.....
Lini mtu asiye wakili hakuweza ajiriwa ktk utumishi wa umma? Utakua mtoto wewe.Mkuu sio kweli ,mabadiliko ya sheria hiyo maana yake ni kuwa hapo awali ilikuwa ni lazima mtu yoyote aliyesoma LL.B ili ni lazima apite law school ili aweze kuajiliwa serikalini Kwa maana nyingine Kwa mtu aliyesoma LL.B tu ilikuwa haiana maana kwako Kwa habari ya kupata ajira popote Tanzania ,Sasa sheria hiyo imefungua mlango kuwa kama unataka kuwa wakili tu ndio utaenda law school ila kama ni legal officer au kada nyingine haitakukataza kuajiliwa hata ukiwa na LL.B ,Ila utaweza kupata mafunzo maalum ambayo sio kama Yale ya mawakili lakini utarat8bu wa mawakili kupatikana ni ule ule
Mimi kweli pale law school wale jamaa nadhani kwa hapa Tanzania wanaongoza kwa weledi.
Hawaangalii sura sijui wewe ni nani au umetoka wapi kama umefeli umefeli tu.
Sasa wale wanaopenda mteremko hawapendi hilo.
Huyo kabudi mwenyewe hajawahi kufaulu Bar exam, uwakili wake ni wa kupewa tu.
Nini maana ya fieldLakini inatakiwa wakimaliza miaka 4 ya L.L.B wafanye Internship ili wawe competent ila kwa
wale wanaotaka kuwa mawakili ndio waende Law school
Hakuna dhuluma.
Sema uwezo mdogo tu ulio nao.
Mmezoea kufaulu kwa kujipendekeza kwa lectures,
Pale LST hicho kitu hakipo. Hata ukifanikiwa kupata mtihani kwa njia za panya huta kaa ufaulu wana njia zao za kudeal na wezi wa mitihani.
Iko hivyo mzee. Hongereni sana LST vilaza wakiifuta hiyo shule hakuna tatizo, mmetimiza wajibu wenu Taifa haliwadai.
Ww ni bushlawyer au bushshamba? Hv unaelewa kilichobadilishwa!?Hakuna dhuluma.
Sema uwezo mdogo tu ulio nao.
Mmezoea kufaulu kwa kujipendekeza kwa lectures,
Pale LST hicho kitu hakipo. Hata ukifanikiwa kupata mtihani kwa njia za panya huta kaa ufaulu wana njia zao za kudeal na wezi wa mitihani.
Iko hivyo mzee. Hongereni sana LST vilaza wakiifuta hiyo shule hakuna tatizo, mmetimiza wajibu wenu Taifa haliwadai.
Mkuu, naomba utuwekee mabadiliko yote, seems hiyo ni sehemu ndogo tu kiasi nashindwa na mimi kupata tafsiri kama hiyo iliyowekwa hapoRasmi sasa ili kua wakili sio lazima kusoma shule kuu ya sheriaView attachment 3082157View attachment 3082158
Vyuo watakazaaa mitihani sana , 😂😂Soon uwakili unakua kama uwalimu so sad
waeSawa lakini toa mapendekezo ya nini kifanyike wawe competent pia.
PhD holder wa kutoka havard anafeli LST?
Kwanza ni nani huyo? Shaka na huu ukweli
Pili hakuna formula kuwa sababu ulisoma sehemu flani basi ukienda sehemu flani pia utafaulu tu, hii sio kwenye education bali ni kwenye sekta zote ndio maana unaona hata kwenye soka shishimbi alikua mchezaji tishio Yanga Ila alipoenda Tabora United akafeli
Acha maisha ya kukariri
Hiko ndio kilio kwa nchi yetu kuwa sehemu zote tupate aina ya watu walioko LST. Hawa wajinga wachache huwa hawakosekani uzuri hupuuzwaMimi kweli pale law school wale jamaa nadhani kwa hapa Tanzania wanaongoza kwa weledi.
Hawaangalii sura sijui wewe ni nani au umetoka wapi kama umefeli umefeli tu.
Sasa wale wanaopenda mteremko hawapendi hilo.
Huyo kabudi mwenyewe hajawahi kufaulu Bar exam, uwakili wake ni wa kupewa tu.
Sio kubet bali kuonyesha kuwa ukiwa hapo wapo serious hakuna kuangalia mtu usoni. Utafaulu kama utakua vizuri, na utafeli kama utakua hovyo.Ulichoandika hapa unamaanisha kufaulu LST hakuna formula.
Ni mwendo wa ku bet au kuangalia a usoni.
Hilo ni kinyume cha utaratibu na ndiyo maana kuna TCU kwa ajili ya harmonization.
Elimu ya juu siyo Simba na Yanga ndugu!
Sio kubet bali kuonyesha kuwa ukiwa hapo wapo serious hakuna kuangalia mtu usoni. Utafaulu kama utakua vizuri, na utafeli kama utakua hovyo.
Ni sawa na TO wa advance ategemee akienda chuo kwa mazingira yoyote atafaulu tu, hiyo haipo
Ndio maana wapo TO ambao wamewahi ku-disco University
Na wapo waliopata Div 2 or 3 lakini wakaondoka na first class.
Tanzania One, wale wanaoongoza mitihani ya taifa
Tanzania One, wale wanaoongoza mitihani ya taifa
Bora wamefuta kwa sababu watoto wa masikini walikosa
ajira kwa kulazimishwa kutafuta postgraduate diploma in Law wakati
amesha soma L.L.B 4 years.