Sheria ya kusoma shule kuu ya sheria yaondolewa

Huwezi kuwa wakili.au gakimu au mwanasheria wa Serikali bila kusoma shule ya sheria yaani law school

Ukisoma sheria na huna mpango kufanya kazi kama mwanasheria hulazimiki kusoma shule ya sheria
 
Kwanza huna adabu, hili ni jukwaa la watu waliostaaharabika na wewe umenionesha ni mtoto mjinga. Na watoto wajinga kama wewe huwa mnafikiri maneno uliyotumia hapo juu na nikakusaidia kuyabold kwa wino mwekundu ni silaha na yanaweza kumkwaza mtu. Pole!

Pili, kama unataka kujadiliana na mimi hapa jukwaani, kaa chini na ujielimishe jinsi ya kujadiliana na watu usiowafahamu mitandaoni na ni majina gwani unapaswa kutumia kama hujui au huna hakika na jinsia ya mtu.

Tatu, una uelewa mdogo sana

Kwanza huna adabu, hili ni jukwaa la watu waliostaaharabika na wewe umenionesha ni mtoto mjinga. Na watoto wajinga kama wewe huwa mnafikiri maneno uliyotumia hapo juu na nikakusaidia kuyabold kwa wino mwekundu ni silaha na yanaweza kumkwaza mtu. Pole!

Pili, kama unataka kujadiliana na mimi hapa jukwaani, kaa chini na ujielimishe jinsi ya kujadiliana na watu usiowafahamu mitandaoni na ni majina gani unapaswa kutumia kama hujui au huna hakika na jinsia ya mtu.

Tatu, una uelewa mdogo sana wa mambo.
😃😃😃 Sawa nimekuelewa, sasa hivi nitakuwa si - Bold nitakuwa naandika kwa herufi kubwa aka mwenye uelewa Mpana.

Kwanza ulitakiwa ujiulize kwa nini lalamiko lielekezwe kwenye Law of school wakati kuna Bodi nyingi tu DADA SHOGA?
 
Mkuu sio kweli ,mabadiliko ya sheria hiyo maana yake ni kuwa hapo awali ilikuwa ni lazima mtu yoyote aliyesoma LL.B ili ni lazima apite law school ili aweze kuajiliwa serikalini Kwa maana nyingine Kwa mtu aliyesoma LL.B tu ilikuwa haiana maana kwako Kwa habari ya kupata ajira popote Tanzania ,Sasa sheria hiyo imefungua mlango kuwa kama unataka kuwa wakili tu ndio utaenda law school ila kama ni legal officer au kada nyingine haitakukataza kuajiliwa hata ukiwa na LL.B ,Ila utaweza kupata mafunzo maalum ambayo sio kama Yale ya mawakili lakini utarat8bu wa mawakili kupatikana ni ule ule
Je ina faida gani hii ammendment ikiwa huwezi kuwa wakili wa kujitegemea,wala huwezi kuwa wakili wa serikali,wala kuwa hakimu,sasa utafanya kazi gani ya sheria kwenye jamii wewe usiyeenda law school?Ni ammendment lkn fursa iliyofunguliwa finyu sana kiasi kwamba law school itaendelea kuwa kama mandatory hv
 
Rasmi sasa ili kua wakili sio lazima kusoma shule kuu ya sheriaView attachment 3082157View attachment 3082158
Tunapongeza,lakini fursa haijafunguka vizuri maana kwenye ajira za serikali uwe wakili wa serikali au legal officer lazima uwe na law school. Kada hizi zingekuwa na masharti tofauti kama wahasibu(mhasibu(cpa) na afisa hesabu(hana cpa)hapo angalau wanasheria wasioenda law school wangefikiwa.
Kwasasa ni changamoto sana mtu amekaa darasani miaka mitatu au minne halafu degree yake inakuwa karatasi tu ambalo halimsaidii chochote,halafu anatakiwa kulipia ada kubwa kuliko ya degree kusoma mwaka mmoja katika shule yenye walimu wanaoenjoy kufelisha zaidi.
Angalau serikali imeanza kumulika eneo hili bila shaka patakaa sawasawa.
 
Kwa hiyo hakutakuwa na cheti cha "internship" ili uwe WAKILI ?!!

Inakuwaje mtu asimame MAHAKAMANI bila kufuzu "internship"?!!

Duuuh....[emoji44][emoji44]

Ni sawa na kumruhusu KUTIBU wagonjwa daktari aliyemaliza tu shahada yake chuoni (Medical Doctor)....

Kwa mwendo huo ,huko tuendako hata hao MADAKTARI wa binadamu hawatokuwa na INTERNSHIP....hatariii sana ,tusije tu tukakatwa MISHIPA ya nguvu za kiume katika harakati za kutufanyia upasuaji wa "ngiri za ndani na ngiri maji bushaa" [emoji1787][emoji1787]
 
Niliwahi kusema humu, kuna taaluma mbili ambazo katika nchi hutakiwi kucheza nazo wala kuzifanyia siasa za kijinga. Ni udaktari/utabibu na hawa wa sheria.

Hizi taaluma hata kama utachuja ili kupata watu makini na bora zaidi ni sawa. Hata ukitoa watu kumi kila mwaka ni sawa. Tusiangalie watu wengi, tuangalie watu bora.

Wanasheria ondoa hapo ndugu.

Unaweza vipi kuwasahau waalimu popote of all the people?

Wacheni kujipa umuhimu msiokuwa nao wandugu.

Wanasheria hawana umuhimu wowote popote ulimwenguni na wala si Tanzania tu.
 
Mimi sio mwanasheria kwanza, lakini umuhimu wa kuwa na watu waliopikwa wakaiva katika hiyo taaluma ni mkubwa sana.

Unafahamu Tanzania imelipi fidia kiasi gani kwa kuingia mikataba mibovu. Hatuwezi kuwa na waalimu bora kama hao wanasheria hawatoshauri vyema na kusuka sheria bora za jinsi ya kupata hao waalimu.

Maisha yetu yote yanasukwa na sheria, kuanzia huduma za kijamii hadi mifumo ya kodi, bila wanasheria bora na makini, nchi itaenda kama gari bovu.
 
💯💯
 
Hakuna mwenye akili timamu anaweza kukubaliana na upuuzi wa kuwa eti ni wa muhimu zaidi au hata kuwa indispensable popote ndugu.

Kulipa pesa za faini, ndipo umuhimu wa mtu unapokuja?

Looh!

Kwani umeangalia pesa ngapi zimewahi kuzalishwa, kupotea, kuibiwa au kupewa hapa nchini?

Sasa hapo wa muhimu zaidi kwa mawazo yako kumbe anaweza kuwa hata labda ni ombaomba anayeiombea hii nchi misaada popote? Au polisi mkamata majizi aliyeshindwa kuyakamata?

Hata mwilini hakipo kiungo kimoja kilicho muhimu au Bora zaidi kuliko kingine ndugu.

Ninakazia:

Acheni kujipa umuhimu msiokuwa nao. Kujidhania u muhimu kuliko wengine ni upuuzi mtupu.
 
Hili Lukesam BOYA kweli sijui toto la Bibi eti katika nchi hutakiwi kucheza nazo wala kuzifanyia siasa za kijinga. Ni udaktari/utabibu na hawa wa sheria.
Anashindwa kuelewa hao madaktari shughuli zote wanazofanya wanategemea vitendea kazi ambazo ni teknolojia, sehemu kubwa ya wagunduzi ni wataalamu fizikia. Umo ndani kuna waandisi, maprogrammer wa kompyuta ...
 
Majamaa kama hayo yanatufikisha huku:

IMG_20240824_065438.jpg
 
Mmh,mwanzo wakuwa na mawakili vilaza
Haiongezi kitu chochote cha msingi bora ifutwe tu.
kuna wazee pale unaambiwa wana roho mbaya usiombe watapambana liwalo na liwe ufeli kama umeenda kinyume na mawazo yao.
 
Mimi sio mwanasheria kwanza, lakini umuhimu wa kuwa na watu waliopikwa wakaiva katika hiyo taaluma ni mkubwa sana.

Unafahamu Tanzania imelipi fidia kiasi gani kwa kuingia mikataba mibovu. Hatuwezi kuwa na waalimu bora kama hao wanasheria hawatoshauri vyema na kusuka sheria bora za jinsi ya kupata hao waalimu.

Maisha yetu yote yanasukwa na sheria, kuanzia huduma za kijamii hadi mifumo ya kodi, bila wanasheria bora na makini, nchi itaenda kama gari bovu.

Uwepo wa mikataba mibovu siyo sababu ya ukosefu wa wanasheria.

Ni kama useme vifo ni vingi kwa sababu hakuna madaktari mahiri.

Daktari mzuri anaweza akawepo ila watu hawapendi kumuona au wakimuona hawafuati maelekezo yake.
 
Ni ukosefu wa wanasheria makini na waadilifu mkuu. Mwanasheria makini na muadilifu ni yule anayeweza kusimamia taaluma yake hadi mwisho, na unaposhauri ukaona ushauri wako haujasikilizwa, ili kulinda taaluma yako unajiuzulu.

Kama wewe ni mwanasheria, ukimshauri mteja wako jambo analotaka kufanya ni kinyume na sheria akaendelea kulifanya na ukamsaidia, utasema wewe ni mwanasheria muadilifu?
 
Back
Top Bottom