Sheria ya Mashirika ya Dini kuomba msamaha wa kodi waagizapo vifaa ndio hasira ya TEC wanataka waingize vitu bure bila kodi

..bugando imeanza jana? wanafanya biashara?
 
Acha uchochezi kijana!
 
Bro, you are dealing with the wrong people. Watu mliotakiwa mdili nao saizi ni Wanaukoo wa Chaula, Mzee Kibao, GenZ mnaoshikilia maiti zao...
 
So huwa unaenda kuonyesha waliokutuma ulichoandika,unapata chako,vipi huwa wanaangalia na umejibiwaje ili waone kama hela zao zinafanya kazi??
Au kama unadhani unatetea maslahi yako kwenye chama,umechelewa kusoma alama za nyakati.
 
Ndio
 
Nimezunguka nchi nzima kaka. Kuna 3,201 mapadri wa Kanisa Katoliki. 3,000 hawakubaliani na TEC. Na isitoshe kila padri anajitegemea kwenye Parokia yake na anamsikiliza askofu wake tu na siyo TEC.
Sasa kama anamsikiliza askofu wake tec ni umoja wakina nan?
Upo chini ya kanisa gani?

Kazi za tec unazijua lakn?
1. Kutoa matamko rasmi la kanisa.
2.kuratibu shughuli zote za kanisa nchini.
 
Sasa kama anamsikiliza askofu wake tec ni umoja wakina nan?
Upo chini ya kanisa gani?

Kazi za tec unazijua lakn?
1. Kutoa matamko rasmi la kanisa.
2.kuratibu shughuli zote za kanisa nchini.
Bandiko hilo ni la Padri Kitima siyo uamuzia wa Maaskofu. Nimeongea na Askofu wangu sasa hivi kanihakikishia hili.
 
Kipaumbele cha Tanzania ni Amani. Amani kwanza mengine yanazungumzika.
Kipaumbele ni Haki au Amani?Kipi kinatemgeneza mwenzake?Kwani yawezakana sisi ni binadamu kutoka duniani na sayari ingine hivyo taratibu zetu pengine ni tofauti.
 
Kipaumbele ni Haki au Amani?Kipi kinatemgeneza mwenzake?Kwani yawezakana sisi ni binadamu kutoka duniani na sayari ingine hivyo taratibu zetu pengine ni tofauti.
Ni Amani. Haki unapewa lakini Amani inalindwa. Huwezi ukalinda Haki maanda haki inaendana na wajibu. Bila wajibu hakuna haki.

Na hakuna mbadala wa Amani.
 
Kipaumbele ni Haki au Amani?Kipi kinatemgeneza mwenzake?Kwani yawezakana sisi ni binadamu kutoka duniani na sayari ingine hivyo taratibu zetu pengine ni tofauti.
Haki ni relative, Amani ni one direction.
 
Ukitaka kujua udikteta wa TEC fanya reseach. Mapadri 80% hawakubaliani na maamuzi yao.
Kwamba hao mapadri 80% wamekubaliana na hivyo vifo zaidi ya 10000 vya watanganyika? Kwamba wanaona ni sawa tu namna uchaguzi ulivyoporwa mchana kweupe, kwamba ni sawa tu watu waendelee kutekwa na kuuwawa? Acha propaganda mfu
 
Hiyo ni propaganda ya Katibu wa TEC wameikataa.
 
Umejitaid Kwa kias ,sio mbaya ni mwanzo mzur Kwa mtu anayeanza propaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…