Sheria ya Mashirika ya Dini kuomba msamaha wa kodi waagizapo vifaa ndio hasira ya TEC wanataka waingize vitu bure bila kodi

Hiyo ni propaganda ya Katibu wa TEC wameikataa.
Mmefeli parefu sana, mtakuja na nyuzi za kila aina this time, watanganyika wa leo sio wa mwaka 80, D9 inakuja, tunajikomboa kutoka kwa mkoloni mweusi, mama mnywa damu za watu.
 
Kwahiyo wako tayari kwa lolote ili wapenye kwenye uongozi wa juu wanchi, sio kwamba wanahurumia sana watanzania walio uawawa, wanasaka utawala kwa nguvu zote, ila nacho ona Raisi mkatoliki au Muislamu ulishapita nawakati tuangalie uandilifu na uwezo.
 
Kwahiyo wako tayari kwa lolote ili wapenye kwenye uongozi wa juu wanchi, sio kwamba wanahurumia sana watanzania walio uawawa, wanasaka utawala kwa nguvu zote, ila nacho ona Raisi mkatoliki au Muislamu ulishapita nawakati tuangalie uandilifu na uwezo.
Wao hawaoni hilo. Wanachojali ni maslahi yao tu na wala siyo maslahi ya Kanisa. Maana tunakutana na wakatoliki mtaani wamechoka ile mbaya.
 
Msichokijua ni kwamba enzi za propaganda za uzushi na uhayawani zilikwishapitwa na wakati siku nyingi sana

Hao mnaohangaika nao TEC hata wao wangeongea utumbo bado waumini wao wangewakataa!

Hizi sio zama za kushikiana akili. Nadhani kundi pekee lililobaki linalokubali kushikiwa akili ni kundi la wana CCM. Huko ndiko mtu ana akili timamu lakini anashindwa kuhoji, mtu ana akili timamu lakini anakubali kudanganywa, mtu ana akili timamu lakini anakubali kukaa kimya.

Kwa mfano, kundi lenye watu wenye akili timamu wasingekubali mtu anayekalia kiti cha Rais aje hadharani na atamke eti "waangalizi wa uchaguzi hawakuwaona wapiga kura kutokana na idadi ya vituo vya kupigia kura kuongezwa"! Kukubaliana na hoja kama hii ni kukubali kushikiwa akili

Hao TEC hawawezi kuja hadharani bila kufanyia uchambuzi jambo wanalotaka kulisema.

Halafu, kwani ni kipi kibaya wamesema hadi muwashambulie?

Ni kipi cha uongo wamesema hadi muwazongezonge hivyo?

Ni upotoshaji gani wamefanya hadi mkose raha?

Jibuni hoja zao acheni, acheni kuhangaika
 
Andika vizuri. Unakoroga sana
 
Wewe Venus Star ongea sana kama kahaba kaona hela ila kaa ukijua hakuna utakacho shinda na haya machapisho yako uchwara yatageuka vituko D9
 
Je GSM yeye analipa Kodi ?,
.maana mpaka Samia alikataa tabia ya wafanya Biashara wanao goma kutoa Kodi, kisa ni Amri kutoka juu.. hapa mshutumuwa ni GSM.

Uk alivyoondoka aliwaachia Tanganyika st.peter, na mwalimu akaja kuwapika kwenye chungu kimoja na mwamwera, .

Sasa Maza kwa kiasi kikubwa kuwadhibiti hawa mwamwera ila hawa wa st.peter kwa shindwa kabisa na hajui kinacho Indeleea zaidi ya output's .

Hii sio vita ya kidini kama munaavyoami ishwa nyinyi kondoo. Wa bwana

Bali ni vita ya kikachero zaidi
 
Baada ya kuondoa sheria hiyo, serikali ya ccm mmekusanya kodi kwa kiwango kipi ukilinganisha na wakati wa sheria hiyo haijaondolewa

Na ongezeko la kodi hiyo limesaidia nini ambacho twaweza kujivunia zaidi ya kutumika kulipa polisi ili kuuwa Watanzania?
 
Ukitaka kujua udikteta wa TEC fanya reseach. Mapadri 80% hawakubaliani na maamuzi yao.
Wewe wamekwambia wapi? Usikurupuke huko BAKWATA ukaja kuwaongelea mapadri huku JF, waambie waliokutuma wakutume tena...

D9 ipo palepale mtatapatapa sana..
 
Nimeandika nikafuta nikaandika nikafuta..
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…