Sheria ya Mashirika ya Dini kuomba msamaha wa kodi waagizapo vifaa ndio hasira ya TEC wanataka waingize vitu bure bila kodi

Your browser is not able to display this video.
 
Upitia mkeka wa mawari unakuta mh wenu yumo unakuja huku unakutana na uzi wa ******* km huu hali ya nani tutawatafuna shingo mda so mrefu
 
Mbona miaka yote exemption huwa inaombwa haijawahi kuwa automatic!! Na sio kwa taasisi za dini ila non profit zote kama NGOs za afya, hizo UN, charity schools, hospitals n.k

Pelekeni propaganda za kitoto huko
 
Vipi BAKWATA??hawana mpango wa kuagiza hata vitabu?
 
Mwambie muislam mwenzenu aache kuua watanganyika fullstop ,hayo ya TEC sijui nini yataisha yote bila hivyo mtatunga sana habari nabhaita saidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…