Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Mkuu Baba Kisura, naomba nikupe 'homework' kidogo. Swali lako lilishajibiwa humu. Tafadhali pitia majibu husika humu.Ikishindikana,nitakujibu tena Mkuu.Naomba nitumie rasilimali hii ya muda kujibu maswali mpya.Kumradhi!

Yah! Kabla sijauliza nilipitia hii thread kdg na nikaona sababu zilizotajwa ni pamoja na uzinzi, mateso na kutelekezwa au kwa mmoja wa wanandoa kupatwa na wendawazimu na mambo hayo ni lazima yawe yamejadiliwa kwanza katika mabaraza ya usuluhishi kabla ya kudika mahakamani kwa ajili ya kudai ama kutolewa kwa talaka. Intention yangu ni kujua pale inapotokea mume au mke kapoteza mapenzi kwa mwenzi wake, na jambo hili hutokea sometimes pasipokuwa na sababu yoyote. Je, kutokuwa na mapenzi tena na mwenzi wako inaweza kuwa sababu ya msingi kufikia hatua ya mahakama kuruhusu ndoa kuvunjika? Thanks mkuu!!!
 
Last edited by a moderator:
Nauliza hivi, eti kumnyonya mkeo sehemu zake za tendo la ndoa kwa ulimi inaruhusiwa? Kama vijana wengi sikuhizi wanavtofanya?

Mkonta, hii nadhani haiko kisheria. Mapenzi ama aina aina gani ya mapenzi mke na mume wanawezashiriki ni hiari yao wenyewe. Kufanya mapenzi ni moja kati ya nguzo muhimu ya ndoa, ni kufanya mapenzi kila mmoja ana aina ya mapenzi anayofurahia anapokua na mwenzi wake. Kunyonya sehemu za siri katika mapenzi ni maamuzi yenu wapenzi mnapoona ni salama lakini pia kama ile starehe ya mapenzi inapatikana kupitia njia ya kunyonyana. Nafikiri hili ni hiari ya wapenzi wenyewe kuamua aina gani ya mapenzi inawafurahisha kama wapenzi. Asante. .
 
Yah! Kabla sijauliza nilipitia hii thread kdg na nikaona sababu zilizotajwa ni pamoja na uzinzi, mateso na kutelekezwa au kwa mmoja wa wanandoa kupatwa na wendawazimu na mambo hayo ni lazima yawe yamejadiliwa kwanza katika mabaraza ya usuluhishi kabla ya kudika mahakamani kwa ajili ya kudai ama kutolewa kwa talaka. Intention yangu ni kujua pale inapotokea mume au mke kapoteza mapenzi kwa mwenzi wake, na jambo hili hutokea sometimes pasipokuwa na sababu yoyote. Je, kutokuwa na mapenzi tena na mwenzi wako inaweza kuwa sababu ya msingi kufikia hatua ya mahakama kuruhusu ndoa kuvunjika? Thanks mkuu!!!

Mkuu Baba Kisura, kupoteza mapenzi huambatana na kugoma kufanya mapenzi na mwenzi wako. Kimsingi,kama mgomo utaendelea kwa kipindi fulani, utatafsirika kama kutelekeza na hivyo kuwa sababu ya kuvunja ndoa. Kutelekezwa kwaweza kuwa kwenda mbali na mwenza au hata kuwa naye chini ya paa moja lakini kutohudumia mwenza huyo. Hivyobasi, hiyo itazaa kutelekeza ambayo ni sababu mujarabu ya kuvunja ndoa halali kisheria.
 
Last edited by a moderator:
je unaeza fafanua kidogo kuhusu mgawanyo wa mali mlizochuma pamoja?,mathalani baba ni mfanyakazi/biashara na mama ni mama wa nyumbani?.Vigezo gani hutumika katika mgawanyo wa mali(kama wanandoa hao pia walibalikiwa watoto)?

Mkuu chanika holdings,mgawanyo wa mali (machumo) utahusu mali zile za pamoja tu.Hii ni kwasababu,katika ndoa kuna mali za pamoja za wanandoa na zile binafsi.Ushahidi wa mali binafsi ukitolewa,mali husika hazitakuwa katika mgawanyo. Fahamu ya kwamba,katika mgawanyo wa mali mtoto/watoto hawahusiki.Sababu ni rahisi mno.Ni kuwa wao hawakuwa wanandoa. Masuala ya ndoa ni tofauti ya masuala ya mirathi.

Katika mgawanyo wa mali,Mahakama huangalia mchango wa kila mwanandoa katika kupatikana kwa mali hiyo. Katika kesi maarufu ya kindoa kati ya Bi Hawa Mohamedi na Bwana Ally Sefu, Mahakama ilitambua mchango wa mama wa nyumbani katika machumo. Hivyobasi, hata kama mke alikuwa ni mama wa nyumbani,atapata mgawanyo kadiri ambavyo Mahakama itaona inafaa kwa kuzingatia mchango wake na mambo mengineyo yaliyojitokeza kwa wanandoa hao kuhusiana na mali.
 
Last edited by a moderator:
vp ndugu mwanasgeria mtoto alizaliwa kabla ya ndoa je ana haki sawa na yule baada ya ndoa?, je n percent gan inatakiwa kutoka kwa mzaz kwa mtoto aliyezaliwa kabla ya ndoa

Mkuu DREAMBOY,swali lako ni la mirathi zaidi ya la kindoa. Kwakuwa hapa si kwa ajili ya mambo ya mirathi,ninayoheshima kwako kukuomba kuliacha bila ya kulijibu.Asante.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Baba Kisura, kupoteza mapenzi huambatana na kugoma kufanya mapenzi na mwenzi wako. Kimsingi,kama mgomo utaendelea kwa kipindi fulani, utatafsirika kama kutelekeza na hivyo kuwa sababu ya kuvunja ndoa. Kutelekezwa kwaweza kuwa kwenda mbali na mwenza au hata kuwa naye chini ya paa moja lakini kutohudumia mwenza huyo. Hivyobasi, hiyo itazaa kutelekeza ambayo ni sababu mujarabu ya kuvunja ndoa halali kisheria.

Naam! Sasa nimepata tafsiri sahihi ya nn maana ya kutelekeza iliyotajwa kama sababu ya kupelekea ndoa kuvunjika. Asante sana kwa elimu hii.
 
Last edited by a moderator:
ok. sasa waheshimiwa mawakili naomba kujuzwa. ikitokokea mume/mke kamshtaki mwenzake na kupelekea kufungwa. tayari naiona ndoa hii kuwa imevunjika. je! mahakama itaandaa document itakayomruhusu mshtaki kuoa au kuolewa tena?- pia mahakama ina utaratibu/sherha gani ya kuweza kunusuru ndoa hii yenye aina hii ya kesi?
 
Sasa vipi kama mwanandoa mmoja akinyimwa haki yake ya ndoa (tendo la ndoa) anaruhusiwa kuomba talaka?
 
Shemeji yangu ana tatizo la ndoa na mume wake nisigependa kuliongelea on public kama hutojali naomba mawasiliano yako ili tuweze kuongea na kuona ni jinsi gani tunaweza kusaidiana
Shukrani
 
ok. sasa waheshimiwa mawakili naomba kujuzwa. ikitokokea mume/mke kamshtaki mwenzake na kupelekea kufungwa. tayari naiona ndoa hii kuwa imevunjika. je! mahakama itaandaa document itakayomruhusu mshtaki kuoa au kuolewa tena?- pia mahakama ina utaratibu/sherha gani ya kuweza kunusuru ndoa hii yenye aina hii ya kesi?

Uulizaji wako unaonekana hautaki majibu.Unauliza na kuweka msimamo kana kwamba tayari una majibu.Unataka ujibiweje sasa tena? Kiufupi, masuala ya jinai hayaingiliani na masuala ya ndoa.
 
sheria hiyohapo juu inawatambuaje watoto wanje yandoa?.
 
Tunaambiwa kuwa ss wakristo tukioana tunakua kitu kimoja, hivyo haturuhusuwi kuachana je sheria inasemaje kuhusu maneno ya viongozi wetu wa dini ya kikristo???waislam talaka au kuachana so simple..yaan ata ukitamka tu.
 
Mkuu,usichanganye Sheria na dini.Kwa wewe mwamini endelea kuamini kuwa hakuna kuachana.Kwa mimi Mwanasheria,najua kuwa kuachana kupo na kunafanywa na Mahakama tu
 
Shemeji yangu ana tatizo la ndoa na mume wake nisigependa kuliongelea on public kama hutojali naomba mawasiliano yako ili tuweze kuongea na kuona ni jinsi gani tunaweza kusaidiana
Shukrani

Tayari Mkuu.Angalia ujumbe wa siri
 
kuna rafiki yangu aliishi miaka saba na walichuma mali zote na huyo mwanaume na wakazaaa mtoto mmoja ila mwaka 2012 mwezi december mwanaume akamtimua yeye na mtoto wake kisa kapata msomi mwezi huu wa dec mwanaume kaenda kumtolea huyo bint mwingine mahari na kamwoa mwaka huu mwezi wa tano. toka mwaka 2012 mwezi dec hatunzi mtoto wake na wala hakumpatia chochote huyo mwanamke alie mwacha alitoka na nguo zake. je mtu kama huyu sheria inasemaje??/
 
Mkuu Victoire, kwanza yategemea namna ya ndoa iliyofungwa baina yenu.Kama ni ya kiislam,kwa mfano,watoto wa nje ya ndoa hawawezi kurithi. Kama ni ndoa ya kimila,yategemea mila za kabila lenu husika. Kama ni ndoa ya Bomani, yategemea na makubaliano yenu katika ndoa yenu.Hii ni kwakuwa,kifungu cha 58 cha Sheria ya Ndoa kinaruhusu uwepo wa Makubaliano juu ya umiliki wa mali za ndoa.Umiliki ndio unaelekeza urithi hapo baadaye.

Nataka nieleweke kuwa, kama mali ni binafsi kama inavyoruhusiwa chini ya vifungu vya 56 na 57,urithi waweza kufuata sheria,mila au Wosia.Lakini,kama ni mali ya pamoja watoto wa nje ya ndoa (kwa ndoa za bomani na za kikristo) hurithi kutokana na matakwa ya wanandoa tu na si vinginevyo.
Naona hutaki tukuPM,nina swali la haraka kidogo hivi Baraza la Usuluhishi wa NDOA LA KAMISHNA WA USTAWI WA JAMII NI HALALI! AU kazi inayofanywa na Ofisi za ustawi wa jamii kuhusu usuluhishi wa ndoa ni halali?
 
Hapo nadhani itadepend na mila husika. Hao wanandoa watakaa na wazee wao ambao wao watatoa maamuzi kulingana na mila husika.
Mfano, kuna mila zingine, mwanaume anapotaka kumuacha mkewe basi anapaswa kurudisha mahari. So inategemea na mila husika.
Kwa mfano mme anaoa mke mwingine kisiri,ilhali alifunga ndoa ya mke mmoja.Mke wa kwanza akigundua anaweza kwenda mahakamani kumshitaki mme ili amlipe fidia? i mean ma milioni ya pesa
 
Je,ni umri upi wa chini kisheria kwa kijana wa kiume kuoa na binti kuolewa kwa ndoa ya serikali,pia ndoa za kila dini ?
 
Wana-JF,

Karibuni hapa kwa maswali mbalimbali yahusuyo Sheria ya Ndoa,1971.Wale wote waliopo kwenye ndoa na wanaotarajia kuwa kwenye ndoa wanakaribishwa hapa kuuliza na kujibiwa. Nitashirikiana na Mawakili Wasomi wenzangu waliopo humu kuwajibu maswali yenu.

Asanteni na karibuni!
Mbona unachukua muda mrefu sana kujibu maswali wajibika bana ....si umekuja mwenyewe kutaka maswali
 
Back
Top Bottom