Baba Kisura
Member
- Dec 12, 2013
- 25
- 6
Mkuu Baba Kisura, naomba nikupe 'homework' kidogo. Swali lako lilishajibiwa humu. Tafadhali pitia majibu husika humu.Ikishindikana,nitakujibu tena Mkuu.Naomba nitumie rasilimali hii ya muda kujibu maswali mpya.Kumradhi!
Yah! Kabla sijauliza nilipitia hii thread kdg na nikaona sababu zilizotajwa ni pamoja na uzinzi, mateso na kutelekezwa au kwa mmoja wa wanandoa kupatwa na wendawazimu na mambo hayo ni lazima yawe yamejadiliwa kwanza katika mabaraza ya usuluhishi kabla ya kudika mahakamani kwa ajili ya kudai ama kutolewa kwa talaka. Intention yangu ni kujua pale inapotokea mume au mke kapoteza mapenzi kwa mwenzi wake, na jambo hili hutokea sometimes pasipokuwa na sababu yoyote. Je, kutokuwa na mapenzi tena na mwenzi wako inaweza kuwa sababu ya msingi kufikia hatua ya mahakama kuruhusu ndoa kuvunjika? Thanks mkuu!!!
Last edited by a moderator: