nameless girl
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 4,195
- 2,678
Kwa mfano mme anaoa mke mwingine kisiri,ilhali alifunga ndoa ya mke mmoja.Mke wa kwanza akigundua anaweza kwenda mahakamani kumshitaki mme ili amlipe fidia? i mean ma milioni ya pesa
vitabu hivyo viko wapi mzee?tafuta kitabu hiki utaelewa. SHERIA KWA KISWAHILI
kama upo naye kwenye "separation" kisheria, ukimlazimisha utakuwa umembaka na unaweza kwenda jela miaka si chini ya 30. ila kama amekubali yeye mwenyewe kwamba umfanye, its not a problem sir. separation kisheria huwa inatolewa ili wanandoa waliokuwa wamekorofishana wapunguze hasira (wacool temper). hiyo inakuwa miaka 3. kama amri ya separation kama hiyo imetolewa, usithubutu kumlazimisha, anakuwa ni mwanamke sawa tu na wengine ambao haujawaoa.mke wangu alitoroka kuna sheria yoyote inayo niamuru kutenda tendo la ndoa naye maana kesi yetu ya talaka ipo mahakamani
Habari wana forum naombeni mnisaidie kisheria ukitaka kumwacha Mke inakubidi umfanyie NN na NN au ni utaratibu upi unatumika kisheria na sio ki dini Aksanteni