Mkuu ndoa ya kikristo ni ndoa ya mke mmoja. Mwisho wake kidini ni hadi mmoja wa wanandoa afariki. Kisheria,ndoa hiyo huvunjwa mahakamani. Inapasa kuvunja ndoa moja kabla ya kuingia nyingine. Hapo sababu ni kutelekezwaMkuu, kwa mfano watu walifunga ndoa kanisani. Kisha mwanamke akaondoka kwa mumewe bila kufuata utaratibu wowote. Baada ya miaka mitatu kwa mfano, bila mawasiliano kabisa, mwanaume akataka kuoa tena. Anatakiwa kufanyeje ili kuvunja ndoa ya awali na kuingia mpya?
Mkuu,kwanza kuwe na umri wa ndoa yaani umri wa utu uzima. Pili,kuwe na matangazo ya ndoa kwa siku zisizopungua 21. Tatu,kufunga ndoa kwa Mkuu wa Wilaya. Taratibu nyingine huelezwa kwenye Wilaya husikaMkuu Petro E. Mselewa naomba kujua taratibu za ndoa ya serikali hua zinakuaje na hatua na vigezo vyake (mwanzo mwisho) ?
Shukran mkuuMkuu,kwanza kuwe na umri wa ndoa yaani umri wa utu uzima. Pili,kuwe na matangazo ya ndoa kwa siku zisizopungua 21. Tatu,kufunga ndoa kwa Mkuu wa Wilaya. Taratibu nyingine huelezwa kwenye Wilaya husika
Ahsante mkuu. Kwenye mazingira hayo mwanaume anaweza kudai ametelekezwa na mkewe na ikawa basis ya kuvunja ndoa kanisani?Mkuu ndoa ya kikristo ni ndoa ya mke mmoja. Mwisho wake kidini ni hadi mmoja wa wanandoa afariki. Kisheria,ndoa hiyo huvunjwa mahakamani. Inapasa kuvunja ndoa moja kabla ya kuingia nyingine. Hapo sababu ni kutelekezwa
Mkuu,nasisitiza tena na tena,ndoa huvunjwa mahakamani tu. Kanisani na misikitini huwa ni hatua tu za kuelekea kuvunja ndoaAhsante mkuu. Kwenye mazingira hayo mwanaume anaweza kudai ametelekezwa na mkewe na ikawa basis ya kuvunja ndoa kanisani?
Mkuu,ingawa swali lako ni la kidini zaidi nitajaribu kulijibu. Kadiri nijuavyo,talaka za kiislamu ni kauli ambayo yaweza kuandikwa au kutamkwa. Ni kauli aitoayo mwanaume kuwa hamuhitaji mkewe tena. Kauli husika huesabiwa kwa kadiri itolewapo. Mwisho ni mara tatu. Kwa talaka moja au mbili,mume aweza kumrudia mkewe kabla ya kumaliza eda ya kuachwa. Ikiisha eda au kwa talaka tatu,mume itampasa amuoe tena mkewe. Zingatia kuwa mimi ni mkristo mwenye ufinyu katika uelewa wa uislamu na sharia.Nauliza hivi kwa mfano mume wangu amenitamkia nishakuacha lakini tulikuwa tunatoleana maneno ya hapa na pale nikamtamkia kuwa niache basi na yeye akasema haya nishakuacha basi nenda zako kwenu ! Je Talaka hii itakuwa imesihi na kama imesihi atakuwa ameniacha kwa talaka ngapi hapo ? na ipi suluhu yake ?
Kwanza mengi ya haya mabaraza ya kata hufanya kazi zisizozao kwa kuingilia hata mamlaka ya kugawa mali baada ya dissolution of the marriage.
Mselewa Please assist, kuna mtu alikuwa na kesi, ya dissolution ya marriage, mume ndie aliomba ndoa ivunjwe na kweli mke akaridhia kwani mwanaume alikuwa amemtelekeza na watoto kwa muda wa miaka mitatu bila chochote.
Wakati kesi imepangwa kusikilizwa sijui kuna kitu inaitwa FPTC Hakimu akamwambia yule mama kwa kuwa hana wakili aende akaongee na Wakili wa mumewe amueleze maana ya FPTC alipofika kule wakili akatake advantage akamwambia mama wamalize suala nje ya mahakama kwa makubaliano, kweli mama akaingia king. akasaini yale makubaliano ambayo pamoja na mambo mengine yalijumuisha amri ya kuvunja ndoa, mama kupewa gharama za matunzo kwa muda wote aliotelekezwa na baba akakabidhiwa watoto, ila katika hayo makubaliano hakukuwa na amri ya kugawa mali za wanandoa ambao walichuma pamoja.
Je huyu mama anaweza fungua kesi ili aombe mgawanyo wa mali walizochuma pamoja?
Mkuu,nikiwa karibu ya laptop nitaiwekaMkuu Petro E. Mselewa unaweza kuweka hapa sheria ya ndoa ya JMT?
Haiwezekani kisheria kuwa na cheti zaidi ya kimoja cha ndoaJe Ni muhimu Mtu kwa na vyeti vya ndoa zaidi ya kioja..?
Au Niruksa Mtu kuwa na cheti cha ndoa cha Kiserikali na cha Kanisani vyote 2 kwa pamoja...?
Naomba usisahau mkuu, najua umeanzisha thread hii ili watu wapate elimu.Mkuu,nikiwa karibu ya laptop nitaiweka