Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Hiyo inaitwa presumption of marriage yaani dhana ya ndoa.Mnatakiwa kuishi miaka miwili mfululizo kama mke na mume .Asiwepo mwenye ndoa nyingine kati yenu,jamii inayowazunguka iwatambue kama mke na mume.Kinyume na hapo hakuna ndoa.
Still a presumption of marriage!
Ndoa ni ile iliyothibitishwa na waliopewa mamlaka ya kuithibitisha.
 
Wakiishi miaka miwili na zaidi mfululizo sheria itatambua walikuwa wameoana kihalali hadi ithibitishwe vinginevyo kulingana na vigezo nilivyovitaja hapo juu.Soma mwenyewe kifungu 160 cha sheria ya ndoa ya Tanzania 1971.
Screenshot_20171222-125512.png

Still a presumption of marriage!
Ndoa ni ile iliyothibitishwa na waliopewa mamlaka ya kuithibitisha.
 
Wakiishi miaka miwili na zaidi mfululizo sheria itatambua walikuwa wameoana kihalali hadi ithibitishwe vinginevyo kulingana na vigezo nilivyovitaja hapo juu.Soma mwenyewe kifungu 160 cha sheria ya ndoa ya Tanzania 1971.View attachment 656787
This ia a A PRESUMPTION applied to settle disputed matters.

Iam still NOT changing my mind. Ndoa halali itarasmishwa na aliyepewa mamlaka.
 
Uko sahihi sana,katika mtanziko tunarudi kwenye sheria ili kutatua tatizo.Hatuko kwenye ndoa inahalishwa na mtu au watu.Ndoa inahalishwa na sheria,mapadre,mashehe na wasajiri wamepewa mamlaka na sheria tuu na ndo maana vyeti vya ndoa siyo vya dini ni vya serikali.
 
This ia a A PRESUMPTION applied to settle disputed matters.

Iam still NOT changing my mind. Ndoa halali itarasmishwa na aliyepewa mamlaka.
Msomi hapa umechemka.presumption of a marriage kama inavyotambuliwa katika kifungu 160 cha sheria ya ndoa hakihalalishi miaka miwili ya kuishi kindoa kuwa ndoa halali Bali kigezo hicho hutumika tu wakati wa kugawa matrimonial asset na si vinginevyo.ndoa halali kisheria ni ile inayofungwa msikitini,kanisan ,kwanjia za kimila au bomani tu.hakuna sheria inayosema kuwa ukiishi na mwanamke miaka miwili au zaidi basi atakuwa mkeo.hakuna sheria hiyo
 
Mkuu, nimesema inatumika ku-settle disputes, na pia nimesema ndoa halali hurasimishwa na mamlaka iliyopewa mamlaka.
 
Mkuu, nimesema inatumika ku-settle disputes, na pia nimesema ndoa halali hurasimishwa na mamlaka iliyopewa mamlaka.
Acha kuchanganya dini na ndoa,ndoa inahalalishwa na sheria ya nchi na siyo dini.Hao mapadre,wachubgaji na mashehe wanatumika kama mawakala wa serikali tuu.Tatizo tunawezaje kuwa tunabishana na mtu ambaye hajawahi kuwa na ndoa.Tafuta cheti cha ndoa angalia kinatoka wapi.
 
Mgumu wa kuelewa wewe!!
Huelewi maana ya MAMLAKA?? Duh.
Vichwa vigumu kama nyie ni wa kupuuza.
 
Na sijaona ulipotaja mashekh wala mapadree,Kijana sio tu mgumu kuelewa Bali hajielewi kabisa
 
Kama umefunga ndoa kanisani mkaishi na kupata watoto miaka zaidi ya 20 mkazinguana ukaenda funga ndoa ya. Kislam kwa taratibu zote uku mke wa kwanza ungali nae hapo unatafsili vipi
 
Kama umejenga nyumba ukiwa Bachelor, then ukatafuta kigoli ukaweka ndani. Baada ya miaka 2 mkagombana na kufikia hatua ya kuachana.

Vipi suala la mgawanyo wa Mali?
 
Jamani naomba mwongozo kama mtu una ndoa ya kanisani na mmeishi takribani miaka 20 nakujaliwa watoto wawili mke akazingua nikapata chombo kingine cha kislamu nikafata taratibu zote nikafunga nae ndoa kislamu tukajaliwa mtoto na mke wangu wa mwanzo ningali nae je sheria inasemaje?
 
Hivi kama mume.kamtelekeza mke miaka miwili hawana mawasiliano mke hajui mume alipo wala mume hajui mke alipo.Kisheria hiyo ndoa inakuwa imevunjika au ?
 
Kama umefunga ndoa kanisani mkaishi na kupata watoto miaka zaidi ya 20 mkazinguana ukaenda funga ndoa ya. Kislam kwa taratibu zote uku mke wa kwanza ungali nae hapo unatafsili vipi
Huwezi funga ndoa ya pili ya kiislam kabla ya kutengua kwa talaka ndoa ya awali ya Kikristo ambayo ni ya mfumo wa monogamy kumbuka ktk sheria za ndoa utatakiwa kitangaza kusidio la kuifunga ndoa siku 21 kabla na hapo endapo uko ktk mkataba wa ndoa ya awali basi unaweza kuwekewa pingamizi.
 
Back
Top Bottom