barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Still a presumption of marriage!Hiyo inaitwa presumption of marriage yaani dhana ya ndoa.Mnatakiwa kuishi miaka miwili mfululizo kama mke na mume .Asiwepo mwenye ndoa nyingine kati yenu,jamii inayowazunguka iwatambue kama mke na mume.Kinyume na hapo hakuna ndoa.
Ndoa ni ile iliyothibitishwa na waliopewa mamlaka ya kuithibitisha.