barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Still a presumption of marriage!Hiyo inaitwa presumption of marriage yaani dhana ya ndoa.Mnatakiwa kuishi miaka miwili mfululizo kama mke na mume .Asiwepo mwenye ndoa nyingine kati yenu,jamii inayowazunguka iwatambue kama mke na mume.Kinyume na hapo hakuna ndoa.
Still a presumption of marriage!
Ndoa ni ile iliyothibitishwa na waliopewa mamlaka ya kuithibitisha.
This ia a A PRESUMPTION applied to settle disputed matters.Wakiishi miaka miwili na zaidi mfululizo sheria itatambua walikuwa wameoana kihalali hadi ithibitishwe vinginevyo kulingana na vigezo nilivyovitaja hapo juu.Soma mwenyewe kifungu 160 cha sheria ya ndoa ya Tanzania 1971.View attachment 656787
Msomi hapa umechemka.presumption of a marriage kama inavyotambuliwa katika kifungu 160 cha sheria ya ndoa hakihalalishi miaka miwili ya kuishi kindoa kuwa ndoa halali Bali kigezo hicho hutumika tu wakati wa kugawa matrimonial asset na si vinginevyo.ndoa halali kisheria ni ile inayofungwa msikitini,kanisan ,kwanjia za kimila au bomani tu.hakuna sheria inayosema kuwa ukiishi na mwanamke miaka miwili au zaidi basi atakuwa mkeo.hakuna sheria hiyoThis ia a A PRESUMPTION applied to settle disputed matters.
Iam still NOT changing my mind. Ndoa halali itarasmishwa na aliyepewa mamlaka.
Mkuu, nimesema inatumika ku-settle disputes, na pia nimesema ndoa halali hurasimishwa na mamlaka iliyopewa mamlaka.Msomi hapa umechemka.presumption of a marriage kama inavyotambuliwa katika kifungu 160 cha sheria ya ndoa hakihalalishi miaka miwili ya kuishi kindoa kuwa ndoa halali Bali kigezo hicho hutumika tu wakati wa kugawa matrimonial asset na si vinginevyo.ndoa halali kisheria ni ile inayofungwa msikitini,kanisan ,kwanjia za kimila au bomani tu.hakuna sheria inayosema kuwa ukiishi na mwanamke miaka miwili au zaidi basi atakuwa mkeo.hakuna sheria hiyo
Acha kuchanganya dini na ndoa,ndoa inahalalishwa na sheria ya nchi na siyo dini.Hao mapadre,wachubgaji na mashehe wanatumika kama mawakala wa serikali tuu.Tatizo tunawezaje kuwa tunabishana na mtu ambaye hajawahi kuwa na ndoa.Tafuta cheti cha ndoa angalia kinatoka wapi.Mkuu, nimesema inatumika ku-settle disputes, na pia nimesema ndoa halali hurasimishwa na mamlaka iliyopewa mamlaka.
Mgumu wa kuelewa wewe!!Acha kuchanganya dini na ndoa,ndoa inahalalishwa na sheria ya nchi na siyo dini.Hao mapadre,wachubgaji na mashehe wanatumika kama mawakala wa serikali tuu.Tatizo tunawezaje kuwa tunabishana na mtu ambaye hajawahi kuwa na ndoa.Tafuta cheti cha ndoa angalia kinatoka wapi.
Hapo ni jinai 2 madai hamna ndoa hapookk,maana kuna kesi watu wameishi miezi mitano mwanamme kamfukuza hawara yake na kipigo juu.hawara anataka wagawane mali
Ukioa utaelewa ninachosemaMgumu wa kuelewa wewe!!
Huelewi maana ya MAMLAKA?? Duh.
Vichwa vigumu kama nyie ni wa kupuuza.
Okei.Ukioa utaelewa ninachosema
Huwezi funga ndoa ya pili ya kiislam kabla ya kutengua kwa talaka ndoa ya awali ya Kikristo ambayo ni ya mfumo wa monogamy kumbuka ktk sheria za ndoa utatakiwa kitangaza kusidio la kuifunga ndoa siku 21 kabla na hapo endapo uko ktk mkataba wa ndoa ya awali basi unaweza kuwekewa pingamizi.Kama umefunga ndoa kanisani mkaishi na kupata watoto miaka zaidi ya 20 mkazinguana ukaenda funga ndoa ya. Kislam kwa taratibu zote uku mke wa kwanza ungali nae hapo unatafsili vipi