Pole mkuu... Ndio maisha....Mkewangu mfanya biashara ndogondogo jana aliniaga anakwenda Dukani kudai madeni
Lakini alikata chocho kwenda kwa kijana. Nika mfumania
Nilimpa kichapo
Akakimbia hakurudi nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkewangu mfanya biashara ndogondogo jana aliniaga anakwenda Dukani kudai madeni
Lakini alikata chocho kwenda kwa kijana. Nika mfumania
Nilimpa kichapo
Akakimbia hakurudi nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani shida sanaHapa ndipo utakapojua ni kwa nini mwezi January ni full stress. Ukimtimua mawazo na ukibaki nae mawazo mzigo duuh!
Ahsante mkuuPole mkuu... Ndio maisha....
Achana nae uyo atakuletea maradhi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha imbombo ingafuHapa ndipo utakapojua ni kwa nini mwezi January ni full stress. Ukimtimua mawazo na ukibaki nae mawazo mzigo duuh!
Nilipo feli baada ya kufirisika kiuchumi.Kabla hujampa Hiyo talaka hebu jaribu kutafiti ww umefeli wapi..... Ili urekebishe kwa ajaye
Kama uko Dar mwone Sheikh Alhadi atakusaidia.Habari za Asubuhi
Jana mke wangu akulala nyumbani naombeni msaada jinsi ya kuandika taraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbombo jilipo.
Akirudi akakulegezea sauti akakupa cha asubuhi unasahau kabisa kua ulitaka kumpa talaka,Habari za Asubuhi
Jana mke wangu akulala nyumbani naombeni msaada jinsi ya kuandika taraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata kama hajafeli popote tatizo Wanawake hamtoshekagiKabla hujampa Hiyo talaka hebu jaribu kutafiti ww umefeli wapi..... Ili urekebishe kwa ajaye
Ila nakupa big up sana ulivyoamua kuja jf Ku share na wadau unapunguza mawazo na kuchangamsha akili maana ungetulia tu mwenyewe huku unapanga na kupangua pengine ungekuja kuchukua maamuzi ya ajabu zaidi ya hata hiyo talaka yakakugharimu. Chukulia mfano kichapo ulichompa jana.
Sio kwanguAkirudi akakulegezea sauti akakupa cha asubuhi unasahau kabisa kua ulitaka kumpa talaka,
Limbwata baya sana aisee.
Yani huyu mwanamke. Atanikumbuka nimemtowa mbali sana.Ila nakupa big up sana ulivyoamua kuja jf Ku share na wadau unapunguza mawazo na kuchangamsha akili maana ungetulia tu mwenyewe huku unapanga na kupangua pengine ungekuja kuchukua maamuzi ya ajabu zaidi ya hata hiyo talaka yakakugharimu. Chukulia mfano kichapo ulichompa jana.
Au angejining'iniza kwa kamba shingoni kutokea darini au kwenye mti mkubwa.Ila nakupa big up sana ulivyoamua kuja jf Ku share na wadau unapunguza mawazo na kuchangamsha akili maana ungetulia tu mwenyewe huku unapanga na kupangua pengine ungekuja kuchukua maamuzi ya ajabu zaidi ya hata hiyo talaka yakakugharimu. Chukulia mfano kichapo ulichompa jana.
AhsanteUsiandike talaka bila kuthibitisha unachomtuhumu mkeo........
Kama ni muislamu huruhusiwi kufanya hivyo....unatakiwa kuthibitisha hizo tuhuma ukiwa na mashahidi .....
Talaka ina sharti zake haitoki tu kama unavyotoa pesa mfukoni ..nakutakia maamuzi mema na yenye busara
Sent using Jamii Forums mobile app
Amefumaniwa kala kichapo ndo katomea.hapo ni talaka tuUsiandike talaka bila kuthibitisha unachomtuhumu mkeo........
Kama ni muislamu huruhusiwi kufanya hivyo....unatakiwa kuthibitisha hizo tuhuma ukiwa na mashahidi .....
Talaka ina sharti zake haitoki tu kama unavyotoa pesa mfukoni ..nakutakia maamuzi mema na yenye busara
Sent using Jamii Forums mobile app
" WEWE ASHURA BINT SHABANI SI MKE WANGU TENA!"
baaaaaaaaaaaaaaaaaas.
Andika tatu
Anjh nne!
Moja yake
Ya pili ya mtaani kwao
Ya tatu ya nguo zake
Ya nne ya kiuno chake!
mambo yasiwe mengi, muda hautoshi!