Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za Asubuhi
Jana mke wangu akulala nyumbani naombeni msaada jinsi ya kuandika taraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu haitakuwa busara kumpa talaka kwanza muulize ulilala wapi kisha muulize sababu za kulala huko alikolala hapo ndio unaweza ukachukua hatua kulingana na majibu yakeHabari za Asubuhi
Jana mke wangu akulala nyumbani naombeni msaada jinsi ya kuandika taraka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namsubili akija maana simu yake ninayo mimi.Fanya kama waarab wa Saudi Arabia, mtumie a text message kuwa unamuacha, inatosha!
Sijui mimi.Lugha gongana .......Je ni taraka(divoce) au talaka(divorce)........????
MWENZETU
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu haitakuwa busara kumpa talaka kwanza muulize ulilala wapi kisha muulize sababu za kulala huko alikolala hapo ndio unaweza ukachukua hatua kulingana na majibu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Taraka sio lazima kuandika ukimwambia tu kuwa mke wangu sasa hivi nimekuwacha tayari inakuwa umemtariki
NB lakini hii ni kulingana na Sheria ya Kiislam
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkewangu mfanya biashara ndogondogo jana aliniaga anakwenda Dukani kudai madeniSome men are just so daft.
What if anything happened to her na dunia ya sasa hivi ilivyochafuka?
What if uandike hiyo talaka kwa hiyo mihemko yako afu uje ugundue alidhurika? Utaishije? Moyo wako utauambia nini? Watoto je?
Mwanamme wa kweli anaejielewa anamtafuta mke wake..... anahakikisha yupo salama kwanza halafu anasikiliza sababu za kutolala nyumbani. Obvious ushagundua kidizain flani nakuambia hujielewi.
Asubuhi asubuhi mkuu " umeamka na suala la tala chief " ni wazi siku ya Leo itakuwa mbaya sana kwako !!? Pole mkuu
Ahsante sanaAsubuhi asubuhi mkuu " umeamka na suala la tala chief " ni wazi siku ya Leo itakuwa mbaya sana kwako !!? Pole mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app