Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Sheria ya Ndoa: Maswali na majibu mbalimbali

Naomba msaada wa kisheria nahitaji kufanya divorce ni muda wa miaka 2 tumetengana na aliyekuwa mke wangu, ambaye nimebahatika kuzaa naye watoto wawili mmoja ana umri wa miaka 8 mwingine 4.

Tunaishi kila mmoja mikoa miwili tofauti yeye yupo Simiyu mimi nipo Mwanza.

Tatizo la kutengana lilitokea tu ghafla mawasiliano kukatika kumbe alipata mwanaume mwingine kwa siri.

Nimemtolea mahari na nimefunga naye ndoa ya serikali. Nimemwambia kistarabu tu tugawane watoto yeye achukue wa kike na mimi nichukue wa kiume, anakataa.

Nimejaribu kumwambia twende mahakamani kwa ajili ya kutengua ndoa. Nalo hataki. Sasa na mimi umri unaenda. Nataka kuoa sasa mwanamke mwingine.

Na ikiwezekana pia nikae na watoto wangu niwalee mwenyewe maana watoto hawampendi kabisa mama yao japo yeye anawalazimisha kukaa nao. Maana muda mwingi anatumia kukaa na hawala yake kuliko watoto.

Likizo huwa naenda kuwachukua watoto! Watoto wanafurahia sana. Yaani huwa naona kabisa watoto kuna message huwa wananipa juu ya mama yao ila nashindwa la kufanya.

Je, nitumie njia gani ili nipeleke ombi mahakama ya mwanzo kwa ajili ya kutengua ndoa ili kila mtu aangalie ustaarabu wake?

Maana nafikiria kumvizia nimshike ugoni naona kama nitamdhalilisha japo huyo mume wake anakuja mara kwa mara hapo nyumbani na kulala.
 
Nenda mahakamani ufungue kesi, Kwanza kamkamate ugoni mkeo itatumika kama sababu ya kumpa taraka kirahisi kabisa.

Pole sana, ila watoto wanakupenda sababu hukai nao!
 
Petro E. Mselewa,

NAOMBA MSAADA WA KISHERIA NAHITAJI KUFANYA DIVORCE NI MUDA WA MIAKA 2 TUMETENGANA NA ALIYEKUWA MKE WANGU......AMBAYE NIMEBAHATIKA KUZAA NAYE WATOTO WAWLI MMOJA ANA UMRI WA MIAKA 8 MWINGINE 4 ,

TUNAISHI KILA MMOJA MIKOA MIWILI TOFAUTI YEYE YUPO SIMIYU MIMI NIPO MWANZA .....

TATIZO LA KUTENGANA LILITOKEA TU GHAFLA MAWASILIANO KUKATIKA KUMBE ALIPATA MWANAUME MWINGINE KWA SIRI

NIMEMTOLEA MAHALI ...NA NIMEFUNGA NAYE NDOA YA SERIKALI

NIMEMWAMBIA KISTARABU TU TUGAWANE WATOTO YEYE ACHUKUE WA KIKE NA MIMI NICHUKUE WA KIUME ...ANAGOMA ANAKATAA

NIMEJARIBU KUMWAMBIA TWENDE MAHAKAMANI KWA AJILI YA KUTENGUA NDOA ...NALO HATAKI ..SASA NA MM UMRI UNAENDA .....NATAKA KUOWA SASA MWANAMKE MWINGINE

NA IKIWEZEKANA PIA NIKAE NA WATOTO WANGU NIWALEE MWENYEWE MAANA WATOTO HAWAMPENDI KBS MAMA YAO JAPO YEYE ANAWALAZIMISHA KUKAA NAO ...MAANA MUDA MWINGI ANATUMIA KUKAAA NA HAWARA YAKE ..KULIKO WATOTO

LIKIZO HUWA NAENDA KUWACHUKUA WATOTO! WATOTO WANAFURAHIA SANA ....YAANI HUWA NAONA KBS WATOTO KUNAMSG HUWA WANANIPA JUU YA MAMA YAO ILA NASHINDWA LA KUFANYA

JE NITUMIE NJIA GANI ILI NIPELEKE OMBI MAHAKAMA YA MWANZO KWA AJILI YA KUTENGUA NDOA ILI KILA MTU AANGALIE USTARABU WAKE???

MAANA NAFIKIRIA KUMVIZIA NIMSHIKE UGONI NAONA KAMA NITAMZALILISHA JAPO HUYO MUME WAKE ANAKUJA MARA KWA MARA HAPO NYUMBANI NA KULALA...

HOJA ZIPI NIZTUMIE ILI TARAKA ITOLEWE NA MAHAKAMA
 
Kwanini ulikaa mbali na mkeo? Aisee Mungu atusaidie mno
Majukumu ya kazi tu kaka, si unajua kazi za serikali.
Ndio yakatokea ya kutokea, yaani niloshajifunza ukiwa na mke kaa naye karibu
 
We nenda RITA kama mlisajiri ndoa watakuelekeza ila nakushauri beba watoto ujae nao hata kama bado wadogo, usikubali kulelewa watoto na Mme mwenzio ndo unakuta wanalawitiwa/kubakwa KANYEGELO
 
Watoto hukaa na mama mpaka umri wa miaka 14 imeongezwa toka saba.
We nenda RITA kama mlisajiri ndoa watakuelekeza ila nakushauri beba watoto ujae nao hata kama bado wadogo, usikubali kulelewa watoto na Mme mwenzio ndo unakuta wanalawitiwa/kubakwa
 
Majukumu ya kazi tu kaka , Si unajua kazi za serikali ...
Ndio yakatokea ya kutokea.....yaani niloshajifunza ukiwa na mke kaa naye karibu
Ndugu yangu mimi nakushauri ebu kwanza tafakari uamuzi wako upya. Talaka haina baraka Mungu anachukia talaka na wala hakuiruhusu. Kaa na mwenzako myaongee. Unaweza kuwa wewe ndiye mkosaji uliyesababisha yote na siyo kweli hakupendi na hata unayotuambia ni ya mwamba ngoma. Je ulishalipeleka swala lenu kwenye ngazi za usuluhishi? ? Je wote mmejua why all that happened? Kuishi na mwanamke kunahitaji akili na hapo ndipo penye kipimo cha akili yako. Huko unapotaka kwenda unapotea milele. U won't be happy trust me
 
Ndugu yangu mimi nakushauri ebu kwanza tafakari uamuzi wako upya. Talaka haina baraka Mungu anachukia talaka na wala hakuiruhusu. Kaa na mwenzako myaongee. Unaweza kuwa wewe ndiye mkosaji uliyesababisha yote na siyo kweli hakupendi na hata unayotuambia ni ya mwamba ngoma. Je ulishalipeleka swala lenu kwenye ngazi za usuluhishi? ? Je wote mmejua why all that happened? Kuishi na mwanamke kunahitaji akili na hapo ndipo penye kipimo cha akili yako. Huko unapotaka kwenda unapotea milele. U won't be happy trust me
Siwezi kwa sasa akili yake na ufahamu wake uko kwingine kabisa.....bibilia inasema usifungwe nile na wasio Amini....nimekubali kwa dhati...nianze tu upya
Mbn bado sana ....

Umri wangu !!! suruhu mara nyingi inaletwa na jitihada km angekuwa anaomba msamaha namkatalia hapo sawa.

Nirahic kuongea yakiwa kwa mwenzako omba yakukute ..unajua inauma kuchapiwa mke yaani kila mtu anajua kabisa mke wa fulani analiwa na fulani muda na saa yoyote

Siwez kabisa naangalia tu ustarabu wa divorce,Yaan ck akikubali taraka nitashukuru kbs
 
Pole ndugu. Nakubaliana na ww uzinzi haukubaliki mpaka kwenye maandiko. Kutembea nje ya ndoa hakukubaliki hata kidogo. Ila natamani upate nafasi umuulize why. Kusudi huko uendako lisitokee tena kwani mwanamke ni yule yule hata huyo mpya. Ila KAMA HAYO ANAYOFANYA UMEMSABABISHIA AISEE wewe ni mkosaji kama yy. Na hakutakuwa na Amani hata kwako
Siwezi kwa sasa akili yake na ufahamu wake uko kwingine kabisa.....bibilia inasema usifungwe nile na wasio Amini....nimekubali kwa dhati...nianze tu upya
Mbn bado sana ....

umri wangu !!! suruhu mara nyingi inaletwa na jitihada km angekuwa anaomba msamaha namkatalia hapo sawa....

Nirahic kuongea yakiwa kwa mwenzako omba yakukute ..unajua inauma kuchapiwa mke yaani kila mtu anajua kabisa mke wa fulani analiwa na fulani muda na saa yoyote

Siwez....kbs naangalia tu ustarabu wa divorce!! ,Yaan ck akikubali taraka nitashukuru kbs
 
KANYEGELO,

Ili kuweza kufungua shauri la talaka Mahakamani yakupasa kwanza kwenda kwenye baraza la usuluhishi (Mariage Reconciliation Board) baada ya kufika kwenye Baraza la usuluhishi mtasikilizwa wakishindwa kuwasuluhisha ndipo mtaenda Mahakamani. Mahakamani utaenda na hati kutoka Baraza la Usuluhishi Ikionyesha kuwa limeshindwa kuwasuluhisha (kuna mazingira tofauti kuwa Imeshindikana kuwasuluhisha) Baraza la usuluhishi kupitia ni takwa la sheria japo kuna exceptional.

Ukifika Mahakamani baada ya kufungua shauri lazima uoneshe kuwa ndoa imevunjika na hairekebishiki tena (breakdown beyond repair) na vigezo vinavyotumika miongoni mwao kuonyesha kuwa hairekebishiki tena vinaweza kuwa vifuatvyo 1. Ugoni 2. Kutelekezwa 3. Ukatili n.k Lakini pia mahakama yaweza kwa mtazamo wake kwa kuzingatia mazingira ya ndoa na namna mambo yanavoenenda ikaona ndoa imevunjika beyond repair japo mmbo yaliyotajawa na sheria hayapo.

Mahakama itatoa talaka kuvunja ndoa na kufuatia kugawa Mali iliyo ya Ndoa na kuzingatia Malezi ya watoto.
Kwa Ujumla Mtoto chini ya Miaka saba anastahili kukaa na Mama ake Lakini Mahakama yaweza kuamua vinginevyo Kuzingatia mwenendo na Tabia ya mama na Kigezo cha Kuweka mtoto kwa Baba au Mama ni Maslahi Bora ya Mtoto katika ukuaji wake(Welfare of the child).

Kwa kifupi nimeona nichangie ivyo.
 
Watoto wengi duniani wana kabiliwa na tatizo la fartherlessness, hali ya kukosa malezi ya baba! KANYEGELO fanya juu chini kachukue watoto.
 
Ili Kuweza Kufungua Shauri la Talaka Mahakamani yakupasa kwanza Kwenda kwenye Baraza la usuluhishi (Mariage Reconciliation Board) baada ya Kufika kwenye Baraza la usuluhishi mtasikilizwa wakishindwa Kuwasuluhisha ndipo Mtaenda Mahakamani. Mahakamani Utaenda na Hati kutoka Baraza la Usuluhishi Ikionyesha kuwa Limeshindwa Kuwasuluhisha (kuna mazingira tofauti kuwa Imeshindikana Kuwasuluhisha) Baraza la usuluhishi kupitia ni Takwa la sheria japo kuna exceptional.

Ukifika Mahakamani baada ya Kufungua shauri Lazima Uonyeshe kuwa ndoa imevunjika na hairekebishiki tena (breakdown beyond repair) na vigezo vinavyotumika miongoni mwao kuonyesha kuwa hairekebishiki tena vinaweza kuwa vifuatvyo 1. Ugoni 2. Kutelekezwa 3. Ukatili n.k Lakini pia mahakama yaweza kwa mtazamo wake kwa kuzingatia mazingira ya ndoa na namna mambo yanavoenenda ikaona ndoa imevunjika beyond repair japo mmbo yaliyotajawa na sheria hayapo.

Mahakam itatoa talaka kuvunja ndoa na kufuatia Kugawa Mali iliyo ya Ndoa na kuzingatia Malezi ya watoto.
Kwa Ujumla Mtoto chini ya Miaka saba anastahili kukaa na Mama ake Lakini Mahakama yaweza kuamua vinginevyo Kuzingatia mwenendo na Tabia ya mama na Kigezo cha Kuweka mtoto kwa Baba au Mama ni Maslahi Bora ya Mtoto katika ukuaji wake(Welfare of the child).

Kwa kifupi nimeona nichangie ivyo.
Nashukuru kwa fafanuzi nzuri sana ulizozitoa na kunimulikia mwanga ' naona kabisa bado ninayo safari pia katika hili
 
Back
Top Bottom