Sheria ya Pasu Kwa Pasu ifutwe Kwa Hoja zifuatazo

Mkuu TZ hakuna sheria ya mgawanyo 50% kwa wanandoa, uhuni huu iliketwa kinyemela na mzee wa NJi ii...
 
kesi uhukumiwa kulingana na ushaidi wanaume waliowengi wa tz wakipelekwa mahakamani na wake zao hakimu akuwauliza hivi mali mlizonzo mlitafuta wote huwa wanakubali sasa mahakama ilaumiwe kwa lipi?
 
kuna baadhi ya wanaume akuiulizwa na hakimu hivi hizo mali mlitafuta wote mwanaume anasema ndioooo mhaka sasa hapo ifanyeje
 
Hiyo Sheria ikifutwa kutakuwa hakuna maana ya ndoa, wanawake watakuwa jeuri mara mbili ya Sasa na watakuwa wezi na wasiokuwa na upendo Wala kujali maana watajua hawana Chao..

Kiufupi mateso yataongezeka Kwa wanaume kuliko ilivyo Sasa.
 
Anapewa gawia Kwa kanuni ipi? Na Kwa kiasi gani? Mchango wake unapimwaje?
 
Hiyo Sheria ikifutwa kutakuwa hakuna maana ya ndoa, wanawake watakuwa jeuri mara mbili ya Sasa na watakuwa wezi na wasiokuwa na upendo Wala kujali maana watajua hawana Chao..

Kiufupi mateso yataongezeka Kwa wanaume kuliko ilivyo Sasa.

Wataalamu wamesema hakuna sheria ya 50*50 isipokuwa kilichopo ni propaganda tuu.
Nilichoandika ndicho kilichopo
 
Mimi Sina Mali ya Mr and Mrs Bali Nina Mali yangu,nyumba isiguswe Kwa nini? Na inakuwa ya umiliki wa pamoja kiaje?
 
Hiyo Sheria ikifutwa kutakuwa hakuna maana ya ndoa, wanawake watakuwa jeuri mara mbili ya Sasa na watakuwa wezi na wasiokuwa na upendo Wala kujali maana watajua hawana Chao..

Kiufupi mateso yataongezeka Kwa wanaume kuliko ilivyo Sasa.
Kumbe hawakufuata mapenzi ya ndoa hapo, walifuata mali si ndio? Ukweli usemwe tu.., mtu ulishwe, uvishwe, watoto wako wasomeshwe, walishwe, wavishwe, watibiwe, wapewe sehemu ya kulala, upewe na mdada wa kazi juu.., wewe mshahara wako wote ni kusaidia ndugu zako na kuka bata, halafu mwisho wa siku unidai tena mgao.., aisee,.., nitaichoma moto hiyo mahakama.., au laa nitamtumia majambazi huyo hakimu wammalize kabisa, tuwe na busara muda mwingine
 
Binafsi siwezi kuishi na mwanamke asiyechangia familia hata iwaje
 
Ni uzembe wako,huwezi ona then wewe ndio uwe kama unachunwa tena? Nini maana ya ndoa Sasa?
 
Asilimi 90 ya wanawake hawachangii chochote, hata wenye ajira, ukimuuliza juu ya mshahara wake anafanyia nini unaishia kutukanwa, hasemi anapeleka wapi, ila wewe mshahara wako ni wawote, just imagine
Nasisitiza ni uzembe wako,Mimi hata kama anauza mkaa namuwekea majukumu ya kuchangia na ndivyo nafanya hata Sasa maana alishindwa hivyo atoke kwangu siwezi ishi na tapeli.
 
Nasisitiza ni uzembe wako,Mimi hata kama anauza mkaa namuwekea majukumu ya kuchangia na ndivyo nafanya hata Sasa maana alishindwa hivyo atoke kwangu siwezi ishi na tapeli.
Wewe unaongea tu, mshahara wa mwanamke wanakwambia ni wake, ila wako ni wa familia, hata akiumwa yeye, wewe ndio umtibie, ukimuuliza pesa zako unapeleka wapi, hasemi, mambo ya ajabu
 
Congratulations you're a sixth fool to have made it to my ignore list.
 
Hatuna sheria hiyo Taikun
 
Wewe unaongea tu, mshahara wa mwanamke wanakwambia ni wake, ila wako ni wa familia, hata akiumwa yeye, wewe ndio umtibie, ukimuuliza pesa zako unapeleka wapi, hasemi, mambo ya ajabu
Kata ndoa au siyo

Ndoa utumwa tu

[emoji1]

Ova
 
Sheria ilikosea sana kuiweka ndoa kuwa ni Contract.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…