johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Una Uhakika Kwenye Mkutano Mkuu Kulikuwa na Haki?
Angalia Video hapa Chini
View: https://www.facebook.com/share/v/16hKQhDyCU/
Kulikuwa na Wajibu
Una Uhakika Kwenye Mkutano Mkuu Kulikuwa na Haki?
Angalia Video hapa Chini
View: https://www.facebook.com/share/v/16hKQhDyCU/
Prof MalimaBasi ndio maswali tuliyojiuliza sana tuliokuwepo 1995.
Nyerere alimwita ghafla Kikwete achukue fomu baada ya kujitokeza Prof. Kighoma Malima. Ndani ya siku moja eti JK alichukua fomu, akazunguka mikoa 10 kupata wadhamini na kesho yake akarejesha fomu. Maswali yako hayakupata majibu baada ya Malima kuhoji hilo
Na Baada ya Hapo Nyerere Alikata Jina la Kikwete kwenye Mchujo na Alikuwa Mshindi wa PiliBasi ndio maswali tuliyojiuliza sana tuliokuwepo 1995.
Nyerere alimwita ghafla Kikwete achukue fomu baada ya kujitokeza Prof. Kighoma Malima. Ndani ya siku moja eti JK alichukua fomu, akazunguka mikoa 10 kupata wadhamini na kesho yake akarejesha fomu. Maswali yako hayakupata majibu baada ya Prof. Malima kuhoji hilo
Upi Ambao Kwa Miaka yote 60 Haukuwahi Kuwepo??Kulikuwa na Wajibu
Wa kutii maamuzi ya wengiUpi Ambao Kwa Miaka yote 60 Haukuwahi Kuwepo??
KWA awamu zote sita??
Wengi walitaka viongozi na Makamu wake watoke wajadiliwe!Wa kutii maamuzi ya wengi
Wengi walipitisha kwa kushangiliaWengi walitaka viongozi na Makamu wake watoke wajadiliwe!
Kama ulivyoona kweny3 Video ...Maamuzi ya Mengi yapi unayozungumzia?
Ile Video Niliyoituma Umeiangalia?Wengi walipitisha kwa kushangilia
Imeisha hiyo 🐼
Hata angetoka huyo kibajaj angeishia kumsifia tuIle Video Niliyoituma Umeiangalia?
Ulitegemea Nini Kwenye Kura Wakati anayepitishwa Yupo Ndani na ndo mwenyekiti wa Kamati inayompitisha?
ukiwa mzee halafu mhuni ni mbaya sana na ni fedheha kwa familiaKama taasisi imeingiliwa na wahuni,tena wahuni wazee. What do you expect ?
Tatizo kumdai wadhamini nani RAIS wa Nchi yako manake umwamini RAIS WAKO TAYALI !!!!Naomba wanasheria na wadau wengine wa mambo ya uchaguzi watusaidie kutupa ufafanuzi juu ya hiili.
Pia, nini maana na wajibu wa kisheria wa wanaoitwa wadhamini ili tuone implication yake katika sheria na zoezi zima la uchaguzi wa Raisi.
Na je, kisheria, kuna uhusiano gani kati ya sheria ya uchaguzi na uteuzi wa wagombea ndani ya vyama?
Yaani sheria ya vyama vya siasa inaelekeza nini kuhusu wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika nchi au sheria ya vyama vya siasa iko kimya juu ya taratibu za uteuzi wa wagombea katika vyama vya siasa?
Na ikitokea, sheria ya vyama vya siasa na sheria ya uchaguzi, zinkinzanqi katika swala zima la uhalali wa mgombea, sheria ipi inasimama?
Mwisho, mgombea wa uraisi ambae hana wadhamini, anaweza kupingwa mahakamani?
Karibu wadau tupeane elimu juu ya hili.
Hatari kutokuelewa lengo la wadhamini!!!Hapana!
Magufuli alikuwa na Wadhamini!
Lowasa kabla ya Kukatwa Jina alikuwa na Wadhamini!
Kikwete alikuwa na Wadhamini!
Mkapa alikuwa na Wadhamiini!
Salim ahmed alikuwa na Wadhamini!
Kanuni za uchaguzi za CCM kwa nafasi ya urais, zinasemaje!!?Tume haina taarifa kama kuna mgombea wa chama chochote. Atakayeenda kuchukua na kurudisha fomu ndio ataambatanisha na majina ya wadhamini. So wadhamini wanaweza kupatikana ndani ya siku mbili tu nchi nzima. Hata Kikwete 1995 alichukua fomu na kukusanya saini za wadhamini nchi nzima ndani ya siku moja tu!
Ambazo zimekiukwa ✔️Hata angetoka huyo kibajaj angeishia kumsifia tu
CCM ni Chama kikubwa chenye utamaduni, mila na desturi zake 😂✔️
Huo mchakato unaousema Magu aliufanya 2020?Kanuni za uchaguzi za CCM kwa nafasi ya urais, zinasemaje!!?
Miaka yote ya uchaguzi mkuu, eale wanachama wa CCM wanaowania kupata nafasi ya kuwa mgombea rais kwa CCM, huwa wanapewa fomu na kwenda kujaza pamoja na kutafuta wadhamini halafu ndio wanapitishwa kwenye mchujo.
Samia alifanya hivi!???
Au aliogopa na kuamua ku shorten/bypass the legitimacy process!!??
Kuna mjumbe yoyote wa mkutano mkuu analalamika? 😂✔️Ambazo zimekiukwa ✔️
Yeah nikiwemo.Mimi na Wenzangu Zaidi ya 30 ambao ninawafahamu!Kuna mjumbe yoyote wa mkutano mkuu analalamika? 😂✔️
We kilaza fanya mambo yako achana na mambo hayakuhusu na yako juu ya uwezo wakoUhalali wa mgombea unaanzia ndani ya chama chake au unaanza kuangaliwa na sheria ya uchaguzi pale anapojitokeza kuchukua form ya uchaguzi?