SIKUJIBU.Nijibu maswali yangu kwanza, kama huna jibu, tafadhali kaa kando nasubiri mwenye majibu.
Nijibu wewe!
SIKUJIBU.Nijibu maswali yangu kwanza, kama huna jibu, tafadhali kaa kando nasubiri mwenye majibu.
Nimelewa vizuri sana lakini huko bado hatujafika maana tume bado haijatoa fomu za kugombea Urais sasa hizi kelele za wadhamini kwa sasa zinatoka wapi?Sheria Inataka Ndiyo ndani ya Chama Ni muhimu..
Sasa kwakuwa umeleta Sheria soma Hapa..
Sheria ya Uchaguzi (The National Elections Act, Cap. 343 R.E. 2015)
Kwa chaguzi za wabunge na madiwani, kifungu cha 38(1)(c) cha sheria hii kinatoa masharti yafuatayo:
“...mgombea atapaswa kuwa na wadhamini wasiopungua kumi na wawili (12) kwa kila jimbo, na wadhamini hao lazima wawe wapiga kura waliopo katika daftari la kudumu la wapiga kura katika jimbo hilo.”
Kwa mujibu wa Regulations under the Act, (The National Elections Act, Cap. 343 R.E. 2015).
“...not less than 200 registered voters as supporters in not less than ten regions, of which at least two must be from Zanzibar.”
Kwahiyo Mgombea wa urais lazima awe na angalau wadhamini 200 kwa kila mkoa katika mikoa 10 tofauti, na mikoa miwili kati ya hiyo lazima iwe Zanzibar.
Umeelewa Sasa
Alidhaminiwa na Msoga lineNaomba wanasheria na wadau wengine wa mambo ya uchaguzi watusaidie kutupa ufafanuzi juu ya hiili.
Pia, nini maana na wajibu wa kisheria wa wanaoitwa wadhamini ili tuone implication yake katika sheria na zoezi zima la uchaguzi wa Raisi.
Na je, kisheria, kuna uhusiano gani kati ya sheria ya uchaguzi na uteuzi wa wagombea ndani ya vyama?
Yaani sheria ya vyama vya siasa inaelekeza nini kuhusu wanaotaka kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika nchi au sheria ya vyama vya siasa iko kimya juu ya taratibu za uteuzi wa wagombea katika vyama vya siasa?
Na ikitokea, sheria ya vyama vya siasa na sheria ya uchaguzi, zinkinzanqi katika swala zima la uhalali wa mgombea, sheria ipi inasimama?
Mwisho, mgombea wa uraisi ambae hana wadhamini, anaweza kupingwa mahakamani?
Karibu wadau tupeane elimu juu ya hili.
kwanini mlikubali azimio?Yeah nikiwemo.Mimi na Wenzangu Zaidi ya 30 ambao ninawafahamu!
Kawaida Il8 Chama Kikupe Ridhaa Unatakiwa Uwe na wadhamini..Nimelewa vizuri sana lakini huko bado hatujafika maana tume bado haijatoa fomu za kugombea Urais sasa hizi kelele za wadhamini kwa sasa zinatoka wapi?