Sheria yetu ya uchaguzi, inaruhusu mgombea uraisi kugombea bila kuwa na wadhamini wa ndani ya chama chake?

Prof Malima
 
Na Baada ya Hapo Nyerere Alikata Jina la Kikwete kwenye Mchujo na Alikuwa Mshindi wa Pili
 
Wa kutii maamuzi ya wengi
Wengi walitaka viongozi na Makamu wake watoke wajadiliwe!
Kama ulivyoona kweny3 Video ...Maamuzi ya Mengi yapi unayozungumzia?
Mwaka 1995 Maamuzi ya Wengi walitaka Kikwete awe Rais yalifuatwa?
Mwaka 2000 Salim ahmed Walitaka Wemgi agombee Unahisi Kwanini Hakushinda??

Mwaka 2015 Lowasa alikatwa kwenye Kura Za maoni Kitu ambacho kilipelekea Mpaka Baadhi ya wanachama wa CCM kufukuzwa kama Kina Mhe simba..

Unazungumzia Wajibu Upi?
 
Ile Video Niliyoituma Umeiangalia?
Ulitegemea Nini Kwenye Kura Wakati anayepitishwa Yupo Ndani na ndo mwenyekiti wa Kamati inayompitisha?
Hata angetoka huyo kibajaj angeishia kumsifia tu

CCM ni Chama kikubwa chenye utamaduni, mila na desturi zake πŸ˜‚βœ”οΈ
 
Tatizo kumdai wadhamini nani RAIS wa Nchi yako manake umwamini RAIS WAKO TAYALI !!!!
 
HAtujawahi kuwa na uchaguzi Tanzania bali huwa ni justification tu kwamba na sisi huwa tunafanya uchaguzi. Kwa kifupi ni watu 4 haddi 6 wa CCM ndiyo huwa wanajifungia na kutuchagulia Rais.

Sasa ni muda muafaka wa No Reforms No election.
 
Hapana!
Magufuli alikuwa na Wadhamini!
Lowasa kabla ya Kukatwa Jina alikuwa na Wadhamini!
Kikwete alikuwa na Wadhamini!
Mkapa alikuwa na Wadhamiini!
Salim ahmed alikuwa na Wadhamini!
Hatari kutokuelewa lengo la wadhamini!!!
 
Kanuni za uchaguzi za CCM kwa nafasi ya urais, zinasemaje!!?

Miaka yote ya uchaguzi mkuu, eale wanachama wa CCM wanaowania kupata nafasi ya kuwa mgombea rais kwa CCM, huwa wanapewa fomu na kwenda kujaza pamoja na kutafuta wadhamini halafu ndio wanapitishwa kwenye mchujo.

Samia alifanya hivi!???
Au aliogopa na kuamua ku shorten/bypass the legitimacy process!!??
 
Huo mchakato unaousema Magu aliufanya 2020?
 
Uhalali wa mgombea unaanzia ndani ya chama chake au unaanza kuangaliwa na sheria ya uchaguzi pale anapojitokeza kuchukua form ya uchaguzi?
We kilaza fanya mambo yako achana na mambo hayakuhusu na yako juu ya uwezo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…