Sheria yetu ya uchaguzi, inaruhusu mgombea uraisi kugombea bila kuwa na wadhamini wa ndani ya chama chake?

Nimelewa vizuri sana lakini huko bado hatujafika maana tume bado haijatoa fomu za kugombea Urais sasa hizi kelele za wadhamini kwa sasa zinatoka wapi?
 
Reactions: Lax
Alidhaminiwa na Msoga line
 
Nimelewa vizuri sana lakini huko bado hatujafika maana tume bado haijatoa fomu za kugombea Urais sasa hizi kelele za wadhamini kwa sasa zinatoka wapi?
Kawaida Il8 Chama Kikupe Ridhaa Unatakiwa Uwe na wadhamini..
Kwani Salimu ahmed salimu alipokuwa na wadhamini aligombea Au Alishinda kuhombea nje ya Chama au Ndani ya Chama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…