Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

dikteta2020

JF-Expert Member
Joined
Aug 14, 2018
Posts
595
Reaction score
3,993
Kiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo.

Sijui sheria zinasemaje ila nahisi jambo hili litazua hisia sana kutoka kwa pande mbalimbali.

Hata kule Twitter nimeona reaction ya juu sana juu ya jambo hili.

Any way tusubiri tushuhudie yafuatayo.
 
Sheria gani, kwani huo ubalozi upo kwenye chupi ya hamisa, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono
Unaelewa sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu kinga ya kibalozi?

Unafahamu mkataba wa Vienna, ambao Tanzania ni party, unasemqje kuhusu majengo ya ubalozi kutoingiliwa na nchi yaliyomo?

Unaelewa kwa nini Julian Assange alikuwa kakaa kwenye ubalozi wa Ecuador Uingereza kwa miaka mingi tu, wakati Polisi wa Uingereza wanataka kumkamata?

Unaelewa kwa nini Polisi wa Uingereza walishindwa kumkamata Julian Assange ingawa alikuwa kwenye ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza uliopo London?

Diplomatic premises

It is an absolute rule that the premises of the mission are inviolable and agents of the receiving state cannot enter them without the consent of the mission. The receiving state is under a special duty to protect the mission premises from intrusion or damage or "impairment of its dignity".

 
Back
Top Bottom