Sheria zinasemaje kuhusu Polisi kuvamia ubalozi na kukamata mtu bila ruhusa ya balozi husika?

Sijui kwa sheria yetu lakini ubalozi hua unakua treated kama nchi yaani mfano ubalozi wa Kenya ukiwa Mwananyamala plot A hiyo plot inahesabiwa ni Kenya so mamlaka za Tz zinahitaji ruhusa kuoperate.

Niliwahi kusoma kesi moja ya ofisa mmoj wa ubalozi alimchoma moto mkewe ndani ya ubalozi na askari wa ile nchi wakabaki kuangalia as kuingilia ingekua ni kuanzisha ugomvi (Ni Malaysia au Thailand sikumbuki vizuri)

Pia kuna jamaa humu jf alielezea machafuko ya Rwanda yeye akiwa anafanya kazi ubalozini na akaelezea wenyeji walivyokua wanakimbilia ubalozini na waasi walikua wanachagua watu wao na kuwaacha wafanyakazi wa ubalozi.

So yeah pengine hata hakua ameingia ndani bado
Mkuu ukisoma viena convetion nchi zote wanachama wa UN walisaini na wanapaswa kuifuataView attachment 9_1_1961.pdf
 
Kakamatwa ndani ya fensi au nje,ata kibaka anayekimbizwa na polisi huwa akii gia ndani ya geti tu la ubalozi,polisi hawathubutu kuingia,inakua ndo pona yake,Ni yeye kakamatiwa wapi?
 
Sijui kwa sheria yetu lakini ubalozi hua unakua treated kama nchi yaani mfano ubalozi wa Kenya ukiwa Mwananyamala plot A hiyo plot inahesabiwa ni Kenya so mamlaka za Tz zinahitaji ruhusa kuoperate.

Niliwahi kusoma kesi moja ya ofisa mmoj wa ubalozi alimchoma moto mkewe ndani ya ubalozi na askari wa ile nchi wakabaki kuangalia as kuingilia ingekua ni kuanzisha ugomvi (Ni Malaysia au Thailand sikumbuki vizuri)

Pia kuna jamaa humu jf alielezea machafuko ya Rwanda yeye akiwa anafanya kazi ubalozini na akaelezea wenyeji walivyokua wanakimbilia ubalozini na waasi walikua wanachagua watu wao na kuwaacha wafanyakazi wa ubalozi.

So yeah pengine hata hakua ameingia ndani bado
Kwani alipokamatiwa nje ya jengo,ambalo ndani kuna balozi zaidi ya 3. Specifically ni ubalozi gani una claim kuwa kakamatiwa kwenye ofisi yake? Otherwise kama haipo basi ni ndani ya nchi yetu na Vienna CONVENTION on DIPLOMATIC relations haita apply bali sheria yetu ya ndani criminal procedure act itatumika bila shida yoyote
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Tumetangaza vita na Ujerumani.

Tusubiri majibu tu.

Hakuna watu wepesi kama Wajerumani, yaani hapo tukiamua watatupigia magoti, tukiwaita ma nazi Hitler tu kwisha habari yao, watatuomba msamaha, ....
 
  • Thanks
Reactions: 30P
Kiutaratibu naona jeshi la Polisi ni kama wamefanya uvamizi nje ya ubalozi wa Ujerumani na kukamata mtu akiwa kwenye ombi la kuonana na balozi husika. Mbaya zaidi balozi wa Ujerumani nchini hakuwa na taarifa hizo.

Sijui sheria zinasemaje ila nahisi jambo hili litazua hisia sana kutoka kwa pande mbalimbali.

Hata kule Twitter nimeona reaction ya juu sana juu ya jambo hili.

Any way tusubiri tushuhudie yafuatayo.

It is no wonder in Tz of Jiwe such thing to happen.
 
Kwani alipokamatiwa nje ya jengo,ambalo ndani kuna balozi zaidi ya 3. Specifically ni ubalozi gani una claim kuwa kakamatiwa kwenye ofisi yake? Otherwise kama haipo basi ni ndani ya nchi yetu na Vienna CONVENTION on DIPLOMATIC relations haita apply bali sheria yetu ya ndani criminal procedure act itatumika bila shida yoyote
Ndiyo maana nimesema pengine hakua kaingia ndani bado
 
Lissu ni akili kubwa, alijua kabisa akikaa maeneo ya ubalozi, polisi hawana mamlaka ya kumkamata, amespend more than 4hrs eneo hilo, polisi wamemkamata ila wenye nchi yao wameamuru aachiwe haraka

Tatizo polisi wetu ni form 4 failures hata sheria za nchi na za kimataifa hawajui

Tena wengine ni la saba b
 
Unaelewa sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu kinga ya kibalozi?

Unafahamu mkataba wa Vienna, ambao Tanzania ni party, unasemqje kuhusu majengo ya ubalozi kutoingiliwa na nchi yaliyomo?

Unaelewa kwa nini Julian Assange alikuwa kakaa kwenye ubalozi wa Ecuador Uingereza kwa miaka mingi tu, wakati Polisi wa Uingereza wanataka kumkamata?

Unaelewa kwa nini Polisi wa Uingereza walishindwa kumkamata Julian Assange ingawa alikuwa kwenye ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza uliopo London?

Diplomatic premises

It is an absolute rule that the premises of the mission are inviolable and agents of the receiving state cannot enter them without the consent of the mission. The receiving state is under a special duty to protect the mission premises from intrusion or damage or "impairment of its dignity".

Asante mkuu
 
Sheria gani, kwani huo ubalozi upo kwenye chupi ya hamisa, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono
Mkuu uliza weledi wakusaidie ficha ujinga wako hata kwa dakika moja
Territorial jurisdiction under international law ulisha isikia
Usiandike kwa mihemko unaonyesha unafikiria kwa kutumia masaburi badala ya sound mind
 
Unaelewa sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu kinga ya kibalozi?

Unafahamu mkataba wa Vienna, ambao Tanzania ni party, unasemqje kuhusu majengo ya ubalozi kutoingiliwa na nchi yaliyomo?

Unaelewa kwa nini Julian Assange alikuwa kakaa kwenye ubalozi wa Ecuador Uingereza kwa miaka mingi tu, wakati Polisi wa Uingereza wanataka kumkamata?

Unaelewa kwa nini Polisi wa Uingereza walishindwa kumkamata Julian Assange ingawa alikuwa kwenye ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza uliopo London?

Diplomatic premises

It is an absolute rule that the premises of the mission are inviolable and agents of the receiving state cannot enter them without the consent of the mission. The receiving state is under a special duty to protect the mission premises from intrusion or damage or "impairment of its dignity".

Mkuu usitumie nguvu kumwelimisha mjinga mwache
Washwahili walisema kukaa kimya nalo ni jibu
 
Mnawaonea bure hawa polisi, wengi wao hata kisomo cha sekondari hawakuhitimu.

Ukiwaeleza mambo ya diplomatic privileges na immunities na mambo mengine magumu ya sheria za kimataifa utawapoteza na kuwaonea.

Hawa ndugu zetu wanachojua ni kupokea amri tu kama maroboti. Hawajui namna dunia inavyozunguka kwenye muhimili wake.
 
Unaelewa sheria za kimataifa zinasemaje kuhusu kinga ya kibalozi?

Unafahamu mkataba wa Vienna, ambao Tanzania ni party, unasemqje kuhusu majengo ya ubalozi kutoingiliwa na nchi yaliyomo?

Unaelewa kwa nini Julian Assange alikuwa kakaa kwenye ubalozi wa Ecuador Uingereza kwa miaka mingi tu, wakati Polisi wa Uingereza wanataka kumkamata?

Unaelewa kwa nini Polisi wa Uingereza walishindwa kumkamata Julian Assange ingawa alikuwa kwenye ubalozi wa Ecuador nchini Uingereza uliopo London?

Diplomatic premises

It is an absolute rule that the premises of the mission are inviolable and agents of the receiving state cannot enter them without the consent of the mission. The receiving state is under a special duty to protect the mission premises from intrusion or damage or "impairment of its dignity".

Bro umekuwa over-intellectual kwa mtu ambaye hastahili na hamudu kuelewa haya madude hapa.

Hawa ni vibendera tu wa mitandaoni ambao kazi yao kubwa ni kushabikia na kupiga makofi.

Hawa unatakiwa uwajibu kwa lugha zao zile za kichama chama na za oya oya.

Umemuua mende kwa nyundo nzito sana.
 
Sheria gani, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono
Naona ngono ndio umeona cha kuipa heshima mpaka kuitaja. Ofisi ya Ubalozi wa nchi unachukuliwa kama sehemu ya nchi husika, ndio utaratibu wa mahusiano ya kimataifa.
 
Sheria gani, kwani huo ubalozi upo kwenye chupi ya hamisa, hii Ni nchi Tena huru. Tunawakamata hata mkiwa mnafanya ngono
Kwakua sisi ni nchi huru unaonaje tuwatimue mabalozi wote nchini mwetu na wale mabalozi wetu walioko mataifa mbalimbali tuwarejeshe nyumbani haraka sana? Unaonaje hilo?
 
Back
Top Bottom