Sheria zinasemaje kujenga maghorofa marefu maeneo ya makazi?

Red Giant

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2012
Posts
15,657
Reaction score
20,967
Salama. Kuna maeneo ya makazi ni mazuri sana kuishi hivyo kila mtu anatamani kuishi huko. Maenwo kama Masaki au Oysterbay.

Hili limepelekea watu kujenga maghorofa marefu sana na kuuza au kupangisha apartment. Majengo haya hubadili kabisa mazingira .

Yanazuia upepo na jua pia. Na zaidi ni kuwa yanasababisha congestion kubwa ya watu kwa eneo ambalo hawakudesign kwa namna hiyo.

Wengine wanajenga mahoteli marefu kwenye maeneo yaliyokuwa designed kwa makazi.

Sheria yetu inasemaje kuhusu ujenzi wa namna hii?
 
Tunataka magholofa kama ulaya ww unaturudisha nyuma, acha roho mbaya kwa sababu za kipuuzi
 
Salama. Kuna maeneo ya makazi ni mazuri sana kuishi hivyo kila mtu anatamani kuishi huko. Maenwo kama Masaki au Oysterbay. Hili limepelekea watu kujenga maghorofa marefu sana na kuuza au kupangisha apartment. Majengo haya hubadili kabisa mazingira . Yanazuia upepo na jua pia. Na zaidi ni kuwa yanasababisha congestion kubwa ya watu kwa eneo ambalo hawakudesign kwa namna hiyo. Wengine wanajenga mahoteli marefu kwenye maeneo yaliyokuwa designed kwa makazi.

Sheria yetu inasemaje kuhusu ujenzi wa namna hii?
hamia manero mango mkuu ,huko hakuna magorofa🙄🙄
 
Kibopa mmoja alitaka kujenga ghorofa sehemu fulani kule Dar. Majirani zake hawakuafiki na hili. Walilalamikia ukweli kwamba mabafu na vyoo vyao hayakuwa yameezekwa kwa juu na hivyo kuwezesha kibopa huyo kuwaona wakiwa katika harakati za kuoga na kujisaidia. Kibopa akaona isiwe shida, aliwaezekea bafu na vyoo vyao wote waliotoa malalamiko hayo. Baada ya hapo hakukuwa na pingamizi juu ya nia yake ya kujenga ghorofa.
 
Itakuwa manzese hii😀😀
 
Back
Top Bottom