Shetani hana rafiki: Israel yatimua Majenerali wake sababu ya October 7, 2023

zitto junior

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2013
Posts
24,661
Reaction score
40,890
Mara nyingi tumekuwa tukisema shetani hana rafiki ndio maana Israel walipotekeleza muaji ya genocide dhidi ya wapalestina wameanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe.

1. Wa kwanza kukutana na panga hilo ni Mkuu wa Kurugenzi ya Ujasusi jeshini (Military Intelligence Directorate chief Major General Aharon Haliva.

Huyu analaumiwa kwa kufeli kujua mateka walipokuwepo licha ya eneo la Gaza kuwa dogo size ya kigamboni tu. Pia analaumiwa kwa mfumo wa ujasusi kushindwa kung'amua uwepo wa uvamizi October 7. Ikumbukwe huyu alitangaz kujiuzuru April 2025 ila kwa tamko la jana ni kwamba sasa amefukuzwa rasmi kabisa na hatokuwemo hata kwenye jeshi la akiba. Mara nyingi humu watu walidai kwamba Israel ilikua inafahamu uwepo wa tukio na uliachia makusudi ili wapate sababu ya kuvamia Gaza. Hoja hii sasa inakufa rasmi maana wamekiri wenyewe kuwa kulikua na intelligence failure na wameanza kwa kuwajibisha wazembe wote.

2. Wa pili kufukuzwa ni aliyekua mkuu wa Kurugenzi ya operesheni yaani Operations Directorate chief Major General Oded Basiuk. Huyu alijiuzulu mwenyewe julai mwaka huu lakini mnadhimu mkuu wa Jeshi kasema NO sasa ni anafukuzwa mazima hahitajiki hata kwenye jeshi la akiba.

3. Wa tatu ni Kamanda wa majeshi kwa kamandi ya kusini mwa Israel yaani Southern Command chief Major General Yaron Finkelman. Huyu alitangaza kujiuzuru January mwaka huu akitegemea teuzi nyingine ila kwa sasa ametimuliwa rasmi kabisa.

4. Mkuu wa jeshi la anga Israel yaani Air Force chief, Major General Tomer Bar. Huyu analaumiwa kushindwa kuzuia paragliders za Hamas kuingiza wavamizi october 7 na pia kushindwa kudungua drones za Hamas na kusababisha vifo vingi vinavyoepukika. Huyu kaambiwa akabidhi ofisi kabla ya Aprili 2026.

5. Mkuu wa majeshi ya majini yaani Israeli Navy chief Vice Admiral David Sa’ar Salama. Huyu analaumiwa kushindwa kuzuia Hamas kupitia baharini kuanzisha shambulizi la October 7 2023.

List ni ndefu kidogo ila unaweza ona kuanzia mkuu wa intelijensia, jeshi la anga, jeshi la majini na jeshi la nchi kavu wote wameliwa kichwa. Na hii yote ni kutafuta wa kumtupia lawama baada ya kuwatumia kuua wapalestina kwa maelfu yao. Huu ndio msemo shetani hana rafiki akishakutumia anakumaliza. Imagine unaua kwa ajili ya kulinda kiti cha Netanyahu ila unaishia kufukuzwa kama mbwa!!

Vyanzo:
Times of Israel
France 24
 
Kama wameshindwa kupata Mateka pamoja na kua active on Palestinians soils for 2YRS Mpaka huruma ya Negotiations.

Baasi ni dhahiri hawakujua mipango ya Hamasi kuwashambulia, Na hawana hyo intelligence wanayo sema wanayo.
 
Sa hapo tatzo nn kama taifa limeamua kuwajbisha watu kwa kuonekana wazembe ila wavaa kobaz bhana mnatafutaga tu story khs israel halafu mnatugeuza kuwa ubaya, kuna ubaya gn watu kuwajbishwa kwa uzembe uliosababsha nchi kuvamiwa na ksha wavamiz wakaua raia na kuwachukua mateka. Huu utamadun najua bongo haupo na ni haramu yaleyale ya mwigulu alidanganya bunge kwmb ana ushahid hata mbnguni atautoa kwmb rwakatale ni gaidi tuna maviongoz mi.kundu kweli.
 
Wasingeenda wachapa Iran namna ile. Israel ilipata sababu ya kuwachakaza Hamas na ndugu zake. Kwa sasa unawasikia tena?
 
Dogo unajilisha matango pori. Wakati wenzenu wana jipanga upya ninyi mnakazana kufuga tu ndevu huoni kilichofanyika Gaza? Kati ya Waisraeli na Wapalestina wapi wamekufa wengi kutokana na October 7? Wenzio Gaza wanalia kila siku. Gaza imebaki na magofu tu na wamekufa watu zaidi ya 10,000 kufidia waisrael hao.
 
Unashabikia ya Israel unajua yanayoendelea ya CoS ,DG TISS, IGP ,CinC wako huku Tanzania ? Si ni heri hao wana accountability
Mbona nimeongelea sana hayo jukwaa la siasa unless we ni mgeni
 
Dogo unajilisha matango pori. Wakati wenzenu wana jipanga upya ninyi mnakazana kufuga tu ndevu huoni kilichofanyika Gaza? Kati ya Waisraeli na Wapalestina wapi wamekufa wengi kutokana na October 7? Wenzio Gaza wanalia kila siku. Gaza imebaki na magofu tu na wamekufa watu zaidi ya 10,000 kufidia waisrael hao.
Wapi nimesema nipo upande wa Palestina au Israel? Nimeeleza tu kuwa baada ya Netanyahu kuwatumia hao majenerali kuchinja wapalestina wasio na hatia leo kawatimua kama wahalifu. Kama walifanya kazi ya haki why awafukuze? Maana yake anatoa mbuzi wa kafara kujisafisha kwenye macho ya kitaifa na kimataifa ili aendelee kutawala.

Shetani hana rafiki
 
Kama walifanya uzembe NETANYAU YUPO SAHIHI KUWAPIGA CHINI. HILO NI JAMBO JEMA. NETANYAU AMETIMIZA WAJIBU WAKE. JAMAA YUPO IMARA SANA
 
Mara nyingi tumekuwa tukisema shetani hana rafiki ndio maana Israel walipotekeleza muaji ya genocide dhidi ya wapalestina wameanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe.

1. Wa kwanza kukutana na panga hilo ni Mkuu wa Kurugenzi ya Ujasusi jeshini (Military Intelligence Directorate chief Major General Aharon Haliva.

Huyu analaumiwa kwa kufeli kujua mateka walipokuwepo licha ya eneo la Gaza kuwa dogo size ya kigamboni tu. Pia analaumiwa kwa mfumo wa ujasusi kushindwa kung'amua uwepo wa uvamizi October 7. Ikumbukwe huyu alitangaz kujiuzuru April 2025 ila kwa tamko la jana ni kwamba sasa amefukuzwa rasmi kabisa na hatokuwemo hata kwenye jeshi la akiba. Mara nyingi humu watu walidai kwamba Israel ilikua inafahamu uwepo wa tukio na uliachia makusudi ili wapate sababu ya kuvamia Gaza. Hoja hii sasa inakufa rasmi maana wamekiri wenyewe kuwa kulikua na intelligence failure na wameanza kwa kuwajibisha wazembe wote.

2. Wa pili kufukuzwa ni aliyekua mkuu wa Kurugenzi ya operesheni yaani Operations Directorate chief Major General Oded Basiuk. Huyu alijiuzulu mwenyewe julai mwaka huu lakini mnadhimu mkuu wa Jeshi kasema NO sasa ni anafukuzwa mazima hahitajiki hata kwenye jeshi la akiba.

3. Wa tatu ni Kamanda wa majeshi kwa kamandi ya kusini mwa Israel yaani Southern Command chief Major General Yaron Finkelman. Huyu alitangaza kujiuzuru January mwaka huu akitegemea teuzi nyingine ila kwa sasa ametimuliwa rasmi kabisa.

4. Mkuu wa jeshi la anga Israel yaani Air Force chief, Major General Tomer Bar. Huyu analaumiwa kushindwa kuzuia paragliders za Hamas kuingiza wavamizi october 7 na pia kushindwa kudungua drones za Hamas na kusababisha vifo vingi vinavyoepukika. Huyu kaambiwa akabidhi ofisi kabla ya Aprili 2026.

5. Mkuu wa majeshi ya majini yaani Israeli Navy chief Vice Admiral David Sa’ar Salama. Huyu analaumiwa kushindwa kuzuia Hamas kupitia baharini kuanzisha shambulizi la October 7 2023.

List ni ndefu kidogo ila unaweza ona kuanzia mkuu wa intelijensia, jeshi la anga, jeshi la majini na jeshi la nchi kavu wote wameliwa kichwa. Na hii yote ni kutafuta wa kumtupia lawama baada ya kuwatumia kuua wapalestina kwa maelfu yao. Huu ndio msemo shetani hana rafiki akishakutumia anakumaliza. Imagine unaua kwa ajili ya kulinda kiti cha Netanyahu ila unaishia kufukuzwa kama mbwa!!

Vyanzo:
Times of Israel
France 24
 
Wasingeenda wachapa Iran namna ile. Israel ilipata sababu ya kuwachakaza Hamas na ndugu zake. Kwa sasa unawasikia tena?
Kama walitafuta sababu mbona sasa mnamfukuza mkuu wa intelijensia ya jeshi wakati ilikua sehemu ya mpango wa "kutafuta sababu"? Yaani mnapenda ujuaji wakati wayahudi wenyewe wanakiri intelijensia imefeli.

Mfano sahivi mateka wote wamerudishwa na wengine bado, vipi msiende kuwachukua maana Hamas haina tena leverage ila mnaishia kulia lia tu kuwa warudishwe. Kubalini intelligentsia ilifeli
 
Kama walifanya uzembe NETANYAU YUPO SAHIHI KUWAPIGA CHINI. HILO NI JAMBO JEMA. NETANYAU AMETIMIZA WAJIBU WAKE. JAMAA YUPO IMARA SANA
Jambo jema lingeanza kwa yeye kujiuzuru. Yaani wanajeshi wawajibike ila bosi hakukosea? Yaani alishindwa kuwapata mateka mpaka wengi wakafa angeanza yeye kujiuzuru kama collective responsibility.

Anyway ndio shetani alivyo anakutumia baadae anakuruka
 
Sa hapo tatzo nn kama taifa limeamua kuwajbisha watu kwa kuonekana wazembe ila wavaa kobaz bhana mnatafutaga tu story khs israel halafu mnatugeuza kuwa ubaya, kuna ubaya gn watu kuwajbishwa kwa uzembe uliosababsha nchi kuvamiwa na ksha wavamiz wakaua raia na kuwachukua mateka. Huu utamadun najua bongo haupo na ni haramu yaleyale ya mwigulu alidanganya bunge kwmb ana ushahid hata mbnguni atautoa kwmb rwakatale ni gaidi tuna maviongoz mi.kundu kweli.
Kwa sababu zifuatazo
1. Wayahudi wa JF walidai humu kuwa Israel ilijua kuhusu shambulizi ila waliamua tu kuliacha litokee ili wavamie Gaza.
2. Wayahudi wa JF walidai Israel inajua mateka walipo ila haijaamua tu kuwaokoa ili kupata sababu kuendelea kumaliza wapalestina.

Sasa kwa fukuza fukuza hii inaonyesha wazi kuwa ni kweli intelijensia ilifeli na uzembe ulifanyika na kwamba Israel sio invicible kama wayahudi wa JF wanavyojitapa. If anything inaonyesha lawama zimeanza humo ndani ndio maana fukuza fukuza imeanza ili Netanyahu ajisafishe otherwise wangemu Impeach yeye kama yeye.

Hope imeeleweka
 
Back
Top Bottom