Shetani hana rafiki: Israel yatimua Majenerali wake sababu ya October 7, 2023

Shetani hana rafiki: Israel yatimua Majenerali wake sababu ya October 7, 2023

Kwa taarifa yako Israel ilikuwa inajua kila kitu na wapi walikuwa wanahifadhiwa mateka hao shida ilikuwa ni kuepuka tu kuua raia wasio na hatia ambako magaidi hao walikuwa wanawaficha mateka hao na ili kudhibitisha hilo IDF waliweza kuokoa mateka waliokuwa wamehifadhiwa kwenye nyumba za raia
Walitekwa wapi? Mbona mpaka leo hawajui? Si wametishia kuingia Gaza kuwatafuta masalia ila mpaka leo wamechuna maana hawajui waanzie wapi? Intelijensia yote ile imefeli kujua walipo mateka kwenye kaeneo kama kariakoo tu? Watu wanawajibishwa wewe unaleta maneno ya kujitia moyo eti walikua wanajua.

Yaani Israel ijue ishindwe kuwaokoa kisa ni maeneo ya raia? Ina huruma gani kiasi hiko?

Kwanza ni wewe ulidanganya hapa kuwa Israel iliua uongozi mzima wa Hamas huko Qatar ila baadae ikagundulika hawakuwemo maana Intelijensia ya Hamas ilishawajuza huo mpango. Vipi na hilo unajiteteaje?

Acheni kuwatukuza hao wakoloni, ni binadamu kama mimi na wewe hawajui kila kitu msiwakuze sana
 
Ni ujinga na Upumbavu tu ndiyo unaweza kukuaminisha kuwa Intelijensia ya Israel ni dhaifu. Mpaka tunapoongea na wewe Kati ya mateka 251 ukiwemo mwili wa Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel karibu mateka wote waliokuwa wametekwa na magaidi hao wamesharejeshwa makwao!!! Harafu bumunda kama wewe unaleta nywinywinywi za kijinga!!
Karibu wote? Hao wengine wako wapi? Kuna mpaka mizoga ya wayahudi haijarudishwa licha ya kwamba mliachia wafungwa wote waliotakiwa na Hamas?
 
Walitekwa wapi? Mbona mpaka leo hawajui? Si wametishia kuingia Gaza kuwatafuta masalia ila mpaka leo wamechuna maana hawajui waanzie wapi? Intelijensia yote ile imefeli kujua walipo mateka kwenye kaeneo kama kariakoo tu? Watu wanawajibishwa wewe unaleta maneno ya kujitia moyo eti walikua wanajua.
Ulivyo mjinga hata hujui walitekwa wapi na hujui kama mateka karibu wote 251 wamerudishwa makwao akiwemo Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel wewe endelea tu kujitoa ufahamu.
Yaani Israel ijue ishindwe kuwaokoa kisa ni maeneo ya raia? Ina huruma gani kiasi hiko?
Ulivyo kosa akili wewe unafikiri wote wako hivyo mateka wote wameshaachiliwa na sasa hivi magaidi wako ndani ya mashimo wameshindwa kutoka na wanapotoka wanafyekelewa mbali maana milango yote imezibwa umeachwa mlango mmoja tu na hapo ndipo wanapukutika kila leo wanaojaribu kutoka tuwaombee tu wapukutishwe kama nzige!!
Kwanza ni wewe ulidanganya hapa kuwa Israel iliua uongozi mzima wa Hamas huko Qatar ila baadae ikagundulika hawakuwemo maana Intelijensia ya Hamas ilishawajuza huo mpango. Vipi na hilo unajiteteaje?
Umeanza kujifariji? Hamas sasa hawana chao karibu viongozi wao wote wameangamizwa na huko Qatar hapakaliki wanajificha kama kunguni Gaza sasa hivi IDF Inatamba haina mpinzani wanapiga wanapopataka Hezbollah nao mavi-debe wanapigwa kama watoto wadogo maskini hata tu kujibu hawana uwezo maana walishatenguliwa kiuno na majeshi ya Israel kipindi cha Operation Beeper 📟 najua wewe hujui!!!
Acheni kuwatukuza hao wakoloni, ni binadamu kama mimi na wewe hawajui kila kitu msiwakuze sana
Endelea kujitoa ufahamu Oct 07,2023 Hamas mlikuwa mnawaramba matako na sasa hivi mna la kusema? Maana wamegaragazwa mchana kweupe wao na Hezbollah,Houth na baba yao Iran mpaka sasa hivi wanachechemea hawana hamu na wana wa Israel Mamaaeeee!!
 
Kwahiyo wamewafukuza kimakosa? Maana wamekiri walishindwa kujua walipo mateka ila wewe myahudi wa Mpiji kwa magohe ndio unajua kuliko wahusika?
Tumia akili yako vizuri uzembe wa mtu mmoja usichukulie kuwa ni wa IDF na ndiyo maana wameadhibiwa Individuals. Mifumo yao iko vizuri dunia yote inajua na wajinga na wapumbavu tu kama wewe ndiyo mnaweza sema mifumo yao ni mibovu!!!
 
Back
Top Bottom