Shetani hana rafiki: Israel yatimua Majenerali wake sababu ya October 7, 2023

Huo una itwa uwajibikaji vipi nchi Yako nani amechukuliwa hatua? Mbona huzungumzi lolote ewe mvaa kipedo wa magomeni mwembechai...!?
 
Mara nyingi tumekuwa tukisema shetani hana rafiki ndio maana Israel walipotekeleza muaji ya genocide dhidi ya wapalestina wameanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe.

1. Wa kwanza kukutana na panga hilo ni Mkuu wa Kurugenzi ya Ujasusi jeshini (Military Intelligence Directorate chief Major General Aharon Haliva.

Huyu analaumiwa kwa kufeli kujua mateka walipokuwepo licha ya eneo la Gaza kuwa dogo size ya kigamboni tu. Pia analaumiwa kwa mfumo wa ujasusi kushindwa kung'amua uwepo wa uvamizi October 7. Ikumbukwe huyu alitangaz kujiuzuru April 2025 ila kwa tamko la jana ni kwamba sasa amefukuzwa rasmi kabisa na hatokuwemo hata kwenye jeshi la akiba. Mara nyingi humu watu walidai kwamba Israel ilikua inafahamu uwepo wa tukio na uliachia makusudi ili wapate sababu ya kuvamia Gaza. Hoja hii sasa inakufa rasmi maana wamekiri wenyewe kuwa kulikua na intelligence failure na wameanza kwa kuwajibisha wazembe wote.

2. Wa pili kufukuzwa ni aliyekua mkuu wa Kurugenzi ya operesheni yaani Operations Directorate chief Major General Oded Basiuk. Huyu alijiuzulu mwenyewe julai mwaka huu lakini mnadhimu mkuu wa Jeshi kasema NO sasa ni anafukuzwa mazima hahitajiki hata kwenye jeshi la akiba.

3. Wa tatu ni Kamanda wa majeshi kwa kamandi ya kusini mwa Israel yaani Southern Command chief Major General Yaron Finkelman. Huyu alitangaza kujiuzuru January mwaka huu akitegemea teuzi nyingine ila kwa sasa ametimuliwa rasmi kabisa.

4. Mkuu wa jeshi la anga Israel yaani Air Force chief, Major General Tomer Bar. Huyu analaumiwa kushindwa kuzuia paragliders za Hamas kuingiza wavamizi october 7 na pia kushindwa kudungua drones za Hamas na kusababisha vifo vingi vinavyoepukika. Huyu kaambiwa akabidhi ofisi kabla ya Aprili 2026.

5. Mkuu wa majeshi ya majini yaani Israeli Navy chief Vice Admiral David Sa’ar Salama. Huyu analaumiwa kushindwa kuzuia Hamas kupitia baharini kuanzisha shambulizi la October 7 2023.

List ni ndefu kidogo ila unaweza ona kuanzia mkuu wa intelijensia, jeshi la anga, jeshi la majini na jeshi la nchi kavu wote wameliwa kichwa. Na hii yote ni kutafuta wa kumtupia lawama baada ya kuwatumia kuua wapalestina kwa maelfu yao. Huu ndio msemo shetani hana rafiki akishakutumia anakumaliza. Imagine unaua kwa ajili ya kulinda kiti cha Netanyahu ila unaishia kufukuzwa kama mbwa!!

Vyanzo:
Times of Israel
France 24
Unajua kwa nn wamefanya hivyo?wana uhakika mifumo yao huwa inajua tukio kabla ya kutekelezwa kwa hyo wana uhakika hao jamaa walikuwa na taarifa ila sasa inawezekana maadui zao walipitisha fedha ili jamaa wakae kimya kumbuka wakati wa sept 11 pentagon pale israel walijuanlike tukio na hakuna hata muisrael mmoja alifariki hawakwenda kazini sasa kama walitambua nje ya nchi yao wanawezaje kushindwa ndani yao na ndio mana walifanya uchunguzi wakajua lazima kuna usaliti ukifanyika intelijensiq ya israel sio masihara wana taarifa nyingi sana dunia nzima jambo la kijingabhuwa wanajua huyu kahusika na wana uhakika kutokana na mifumo yao ya ulinzi.
 
Mara nyingi tumekuwa tukisema shetani hana rafiki ndio maana Israel walipotekeleza muaji ya genocide dhidi ya wapalestina wameanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe.

1. Wa kwanza kukutana na panga hilo ni Mkuu wa Kurugenzi ya Ujasusi jeshini (Military Intelligence Directorate chief Major General Aharon Haliva.

Huyu analaumiwa kwa kufeli kujua mateka walipokuwepo licha ya eneo la Gaza kuwa dogo size ya kigamboni tu. Pia analaumiwa kwa mfumo wa ujasusi kushindwa kung'amua uwepo wa uvamizi October 7. Ikumbukwe huyu alitangaz kujiuzuru April 2025 ila kwa tamko la jana ni kwamba sasa amefukuzwa rasmi kabisa na hatokuwemo hata kwenye jeshi la akiba. Mara nyingi humu watu walidai kwamba Israel ilikua inafahamu uwepo wa tukio na uliachia makusudi ili wapate sababu ya kuvamia Gaza. Hoja hii sasa inakufa rasmi maana wamekiri wenyewe kuwa kulikua na intelligence failure na wameanza kwa kuwajibisha wazembe wote.

2. Wa pili kufukuzwa ni aliyekua mkuu wa Kurugenzi ya operesheni yaani Operations Directorate chief Major General Oded Basiuk. Huyu alijiuzulu mwenyewe julai mwaka huu lakini mnadhimu mkuu wa Jeshi kasema NO sasa ni anafukuzwa mazima hahitajiki hata kwenye jeshi la akiba.

3. Wa tatu ni Kamanda wa majeshi kwa kamandi ya kusini mwa Israel yaani Southern Command chief Major General Yaron Finkelman. Huyu alitangaza kujiuzuru January mwaka huu akitegemea teuzi nyingine ila kwa sasa ametimuliwa rasmi kabisa.

4. Mkuu wa jeshi la anga Israel yaani Air Force chief, Major General Tomer Bar. Huyu analaumiwa kushindwa kuzuia paragliders za Hamas kuingiza wavamizi october 7 na pia kushindwa kudungua drones za Hamas na kusababisha vifo vingi vinavyoepukika. Huyu kaambiwa akabidhi ofisi kabla ya Aprili 2026.

5. Mkuu wa majeshi ya majini yaani Israeli Navy chief Vice Admiral David Sa’ar Salama. Huyu analaumiwa kushindwa kuzuia Hamas kupitia baharini kuanzisha shambulizi la October 7 2023.

List ni ndefu kidogo ila unaweza ona kuanzia mkuu wa intelijensia, jeshi la anga, jeshi la majini na jeshi la nchi kavu wote wameliwa kichwa. Na hii yote ni kutafuta wa kumtupia lawama baada ya kuwatumia kuua wapalestina kwa maelfu yao. Huu ndio msemo shetani hana rafiki akishakutumia anakumaliza. Imagine unaua kwa ajili ya kulinda kiti cha Netanyahu ila unaishia kufukuzwa kama mbwa!!

Vyanzo:
Times of Israel
France 24
Wewe hawa watanganyika waliouwawa hawakuhusu?
 
Jukwaa la International tunajadili masuala ya geopolitics. Hayo ya Tanzania nimeongelea sana jukwaa la siasa na nimepinga sana tu mauaji ya wananchi.
 
Huo una itwa uwajibikaji vipi nchi Yako nani amechukuliwa hatua? Mbona huzungumzi lolote ewe mvaa kipedo wa magomeni mwembechai...!?
Hahaha mkuu mie mbona nimepinga mauaji ya wananchi sana tu. Yaani huu uwajibikaji wa Israel unapaswa kufanyika na hapa
 
Ni kawaida ya Israel kubadili uongozi wa kijeshi baada ya vita yoyote au operation kubwa, ni suala endelevu na litajirudia tena. Na maofisa wa kijeshi wa Israel huwa hawazeekei madarakani sio kama wa Algeria.

Ukitafuta maofisa muhimu wa jeshi la Israel kuwahi kutokea, utawakuta wengi tu ambao hawakumaliza muda wao. Moshe Dayan ndio the best ila reshuffles zilimhusu. Sasa hao Hezbollah ni mpaka mtu alipuliwe na bomu ndio anastaafu kwa kifo.
 
Sijakusikia ukikemea kauli ya kukata watu vichwa maalim!
Japo sikupangii Cha kufanya lkn nafikiri charity begins at home Mkuu!
 
Mara nyingi tumekuwa tukisema shetani hana rafiki ndio maana Israel walipotekeleza muaji ya genocide dhidi ya wapalestina wameanza kugeukiana wenyewe kwa wenyewe.

1. Wa kwanza kukutana na panga hilo ni Mkuu wa Kurugenzi ya Ujasusi jeshini (Military Intelligence Directorate chief Major General Aharon Haliva.

Huyu analaumiwa kwa kufeli kujua mateka walipokuwepo licha ya eneo la Gaza kuwa dogo size ya kigamboni tu. Pia analaumiwa kwa mfumo wa ujasusi kushindwa kung'amua uwepo wa uvamizi October 7. Ikumbukwe huyu alitangaz kujiuzuru April 2025 ila kwa tamko la jana ni kwamba sasa amefukuzwa rasmi kabisa na hatokuwemo hata kwenye jeshi la akiba. Mara nyingi humu watu walidai kwamba Israel ilikua inafahamu uwepo wa tukio na uliachia makusudi ili wapate sababu ya kuvamia Gaza. Hoja hii sasa inakufa rasmi maana wamekiri wenyewe kuwa kulikua na intelligence failure na wameanza kwa kuwajibisha wazembe wote.

2. Wa pili kufukuzwa ni aliyekua mkuu wa Kurugenzi ya operesheni yaani Operations Directorate chief Major General Oded Basiuk. Huyu alijiuzulu mwenyewe julai mwaka huu lakini mnadhimu mkuu wa Jeshi kasema NO sasa ni anafukuzwa mazima hahitajiki hata kwenye jeshi la akiba.

3. Wa tatu ni Kamanda wa majeshi kwa kamandi ya kusini mwa Israel yaani Southern Command chief Major General Yaron Finkelman. Huyu alitangaza kujiuzuru January mwaka huu akitegemea teuzi nyingine ila kwa sasa ametimuliwa rasmi kabisa.

4. Mkuu wa jeshi la anga Israel yaani Air Force chief, Major General Tomer Bar. Huyu analaumiwa kushindwa kuzuia paragliders za Hamas kuingiza wavamizi october 7 na pia kushindwa kudungua drones za Hamas na kusababisha vifo vingi vinavyoepukika. Huyu kaambiwa akabidhi ofisi kabla ya Aprili 2026.

5. Mkuu wa majeshi ya majini yaani Israeli Navy chief Vice Admiral David Sa’ar Salama. Huyu analaumiwa kushindwa kuzuia Hamas kupitia baharini kuanzisha shambulizi la October 7 2023.

List ni ndefu kidogo ila unaweza ona kuanzia mkuu wa intelijensia, jeshi la anga, jeshi la majini na jeshi la nchi kavu wote wameliwa kichwa. Na hii yote ni kutafuta wa kumtupia lawama baada ya kuwatumia kuua wapalestina kwa maelfu yao. Huu ndio msemo shetani hana rafiki akishakutumia anakumaliza. Imagine unaua kwa ajili ya kulinda kiti cha Netanyahu ila unaishia kufukuzwa kama mbwa!!

Vyanzo:
Times of Israel
France 24
Maelezo malefu ambayo hayana kichwa wala miguu. Kilichofanyika ni “Uwajibikaji” kitu ambacho kwenye nchi za wenzetu ni kitu mhimu sana uliowataja wote walijiuzuru nyadhifa zao toka mwaka jana kabla tume kutoa maamuzi nini kichukuliwe dhidi yao.

Umeelezea kwa mbwembwe sana kujifariji na kujipa moyo baada ya Hamas kupata kipondo cha mbwa-koko huko Gaza na Gaza yenyewe kuwa Magofu mtupu!! Endelea tu kujipa moyo lakini majeshi ya Israel yako Imara kuliko Jana !!!
 
Nyie mlikua mnasema intelijensia ya Israel iko top dunia nzima lakini jenerali amekili intelijensia ilifeli kuwapata mateka na hata kugundua uvamizi wa Hamas kinyume na propaganda zenu humu.

Kwahiyo baada ya ubishi wa muda mrefu leo mmeumbuka kuwa Israel ilifeli kiintelijensia sio kwenye uvamizi tu bali kwenye kujua mateka walipo.

Je na ww upo tayari kuomba radhi kwa kupotosha humu
 
Sijakusikia ukikemea kauli ya kukata watu vichwa maalim!
Japo sikupangii Cha kufanya lkn nafikiri charity begins at home Mkuu!
Labda hunifuatilii jukwaa la siasa ila nimepinga sana udini unaopandikizwa na CCM ili tuuane wenyewe kwa wenyewe ili kusahau kuiondoa madarakani.
 
Ni kawaida ya Israel kubadili uongozi wa kijeshi baada ya vita yoyote au operation kubwa, ni suala endelevu na litajirudia tena. Na maofisa wa kijeshi wa Israel huwa hawazeekei madarakani sio kama wa Algeria.

Ukitafuta maofisa muhimu wa jeshi la Israel kuwahi kutokea, utawakuta wengi tu ambao hawakumaliza muda wao. Moshe Dayan ndio the best ila reshuffles zilimhusu. Sasa hao Hezbollah ni mpaka mtu alipuliwe na bomu ndio anastaafu kwa kifo.
Lakini tuliaminishwa intelijensia yao haijawahi kosea kivipi mkuu wa intelijensia kuwajibishwa kwa kushindwa kujua shambulizi la Hamas na pia kushindwa kung'amua walipo mateka.
 
Mliaminishwa na nani, hao waliowaaminisha wanaijua Israel inavyofanya kazi au walianza kuifuatilia baada ya shambulizi la Hamas?

Maana mimi hapa nisiyejua lolote kuhusu kufyatua matofali maisha yangu yote. Nikisikiliza simulizi ya ufyatuaji leo na kisha nikatoka kuja kukudadavulia kwa kina, nawe ukanisikiliza na kuniamini kama vile niko expert, mjinga zaidi kati yangu na wewe anakuwa nani.
 
Nyie mlikua mnasema intelijensia ya Israel iko top dunia nzima lakini jenerali amekili intelijensia ilifeli kuwapata mateka na hata kugundua uvamizi wa Hamas kinyume na propaganda zenu humu.

Kwahiyo baada ya ubishi wa muda mrefu leo mmeumbuka kuwa Israel ilifeli kiintelijensia sio kwenye uvamizi tu bali kwenye kujua mateka walipo.

Je na ww upo tayari kuomba radhi kwa kupotosha humu
Acha kujitoa ufahamu Jenerali hawezi kusema ujinga kama huo, najua mnasema maneno hayo ili kujifariji na kujipa moyo baada ya Majeshi ya Israel kuwapa kipigo magaidi wa Hamas nanyi sasa mnakuja na uongo mwepesi kufunika tupu zenu.

Oct 07,2023 Magaidi wa Hamas walivamia Israel na kuua watu 1,200 na kuchukua mateka watu 251 ambao Kati yao walihifadhiwa kwenye nyumba za raia wa kipalestina, Magaidi hao hawa kuishia hapo bali waliteka nyara na maiti za watu waliokuwa wanawaua na kuzipeleka kwao Gaza.

Kwa taarifa yako Israel ilikuwa inajua kila kitu na wapi walikuwa wanahifadhiwa mateka hao shida ilikuwa ni kuepuka tu kuua raia wasio na hatia ambako magaidi hao walikuwa wanawaficha mateka hao na ili kudhibitisha hilo IDF waliweza kuokoa mateka waliokuwa wamehifadhiwa kwenye nyumba za raia.

Ni ujinga na Upumbavu tu ndiyo unaweza kukuaminisha kuwa Intelijensia ya Israel ni dhaifu. Mpaka tunapoongea na wewe Kati ya mateka 251 ukiwemo mwili wa Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel karibu mateka wote waliokuwa wametekwa na magaidi hao wamesharejeshwa makwao!!! Harafu bumunda kama wewe unaleta nywinywinywi za kijinga!!!
 
Lakini tuliaminishwa intelijensia yao haijawahi kosea kivipi mkuu wa intelijensia kuwajibishwa kwa kushindwa kujua shambulizi la Hamas na pia kushindwa kung'amua walipo mateka.
Ni kawaida mtu akikosea lazima awajibishwe na hiyo haimaanishi kuwa intelijensia Ina kasoro. Ni ujinga na upumbavu kudhani kuwa IDF hawakung’amua wapi walipo mateka hilo lilikuwa suala la muda tu!!!
 
Hayo ndio majeshi sasa yanayojua nini maana ya kuwa walinzi wa taifa, wakishindwa kutimiza majukumu yao kama walivyo apa wanawajibika...

...tofauti kabisa na huku Tanzagiza kwenye jeshi la wapumbavu ambao kazi yao ni kuwatii na kuwalinda mafisadi wanaoua wanainchi wao.
 
Ni kawaida mtu akikosea lazima awajibishwe na hiyo haimaanishi kuwa intelijensia Ina kasoro. Ni ujinga na upumbavu kudhani kuwa IDF hawakung’amua wapi walipo mateka hilo lilikuwa suala la muda tu!!!
Kwahiyo wamewafukuza kimakosa? Maana wamekiri walishindwa kujua walipo mateka ila wewe myahudi wa Mpiji kwa magohe ndio unajua kuliko wahusika?
 
Back
Top Bottom