Shetani kama ni kidume avae mwili kama Yesu kristo aje Duniani alete hizi tabia zake za kipumbavu

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
3,078
Reaction score
5,882
Hapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.

Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa sekunde moja,yaani mimi mwenyewe ningemfanyia umafia na kumpa mapigo ambayao angejuta kuumbwa.

Mwanaume ni Yesu kristo tu..amekuja amevaa mwili na akajidhihirisha kwetu na akafanya yake huku Duniani kisha akaondoka.

Huyu shetani vip mbona anajificha?
 
Story na Imani

Both are fictional characters.
 
Huyo Mwamba Hata Baba Yake Yesu Anaujua Mtiti Wake Ndio Maana,Kwanza Akatutupia Huku Ulimwenguni Na Wote Aliowatuma Kupambana Nae,,,Sir SHETANI Anapita Nao Tu...Wametumwa Manabii Na Mitume Wangapi Hadi Sasa Lakini Mwamba Anawakong'ota Vibaya Mnoo...
ALafu Kwanza Huu Ugomvi Wao,,,Sisi Wanatushirikisha Vipi Hatuelewi Waligombania Nini Tumeuvaa Tuu,Kwa Kusikiilza Upande Mmoja TUNAHITAJI Kusikia Na Ushahidi Wa Shetani Maana Anaandamwa Sana,,Anatukanwa,,Anasemwa Vibaya,,Lakini Mwamba Wala Hana Tu Shaka Anadunda Zake Na Wala Hajibu Kwa Maneno,,Bali Ni Vitendo Tu..​
 
Eti mwamba😁,kuna mwamba anayejificha...?muambie avae mwili aaje tuone huo umwamba wake...
Hata mtoto mdogo wa darasa la kwanza akijificha nakufanya anayofanya shetani ataweza kufanya na watu kama nyie mtamuita mwamba.
 
Sasa mkuu hivi unamjua shetani au unamsikia tu, Hilo dude hata Mungu mwenyewe anamuheshimu/ wanaheshimiana (maana Wana nguvu Sawa) hadi huwa wanapiga story kabisa kuhusu binadamu (soma kitabu cha Ayubu). Lakini wewe mlokole wa Tandale huko kiiiila siku unaomba tu shetani toooooka, toooka. Aise hilo dude huliwezi mkuu akiamua kuja kweli duniani kama unavyotaka hamna mtu yeyote atakayemfanya chochote.
 
Hapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.

Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa sekunde moja,yaani mimi mwenyewe ningemfanyia umafia na kumpa mapigo ambayao angejuta kuumbwa.

Mwanaume ni Yesu kristo tu..amekuja amevaa mwili na akajidhihirisha kwetu na akafanya yake huku Duniani kisha akaondoka.

Huyu shetani vip mbona anajificha?
Mimi ni mbatizwa wa kanisa katoliki la mitume. Izo sijui shetani ni story za kutunga. mungu na Shetani ni wewe mwenyewe. Apo ni sawa sawa unajisubiri wewe mwenyewe.
Acha kujitoa kafara ishi maisha.
 
Eti mwamba😁,kuna mwamba anayejificha...?muambie avae mwili aaje tuone huo umwamba wake...
Hata mtoto mdogo wa darasa la kwanza akijificha nakufanya anayofanya shetani ataweza kufanya na watu kama nyie mtamuita mwamba.
Anajificha Vipi Wakati Alipewa Hadi Nafasi Ya Kumjaribu Mwana Wa Mungu Unadhani Hilo Dude Ni Dogo,,Na Bwana Yesu Wala Hakumjibu Kwa Jeuri,Alijibu Kiistaarabu Mnoo Kwa Kuwa Anajua Mabalaa Ya Mwamba Kwa Mshua,,,Embu Nitajie Kiumbe Yoyote Yule Aliyepata Nafasi Ya Kumjaribu Mwana Wa Mungu..??Mwana Mungu Alikuja Kwa Umbo La Kibanaadamu,,Mwamba Yeye Alikuja Kwa Umbo La Nyoka...
Alafu Pia Bwana Yesu Amemkuta Mwamba Kitambo Yumo Na Anatamba Na Ndio Maana Si Yeye,,Wala Waliomtangulia Hadi Waliopo Sasa,,Hakuna Wa Kumshinda Sir Shetani Hata Wewe Pia Na Kizazi Chako Sahau Kuhusu Hilo Na Mtamuacha Anaendeleza Pilika Zake Ulimwenguni....
 
Sasa mkuu hivi unamjua shetani au unamsikia tu, Hilo dude hata Mungu mwenyewe anamuheshimu/ wanaheshimiana (maana Wana nguvu Sawa) hadi huwa wanapiga story kabisa kuhusu binadamu (soma kitabu cha Ayubu). Lakini wewe mlokole wa Tandale huko kiiiila siku unaomba tu shetani toooooka, toooka. Aise hilo dude huliwezi mkuu akiamua kuja kweli duniani kama unavyotaka hamna mtu yeyote atakayemfanya chochote.

Neno: Luka 10:19 Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na kushinda nguvu zote za yule adui; wala hakuna kitu cho chote kitakachoweza kuwadhuru

Waefeso 6:12​

Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.​
 
Huna haja ya kumtusi shetani, unatakiwa tu uuseme uzuri wa Yesu wako, ndivyo Yesu alivyoagiza, hii ndo shida ya kuwa mfuasi wa Mwamposa!
 
Hapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.

Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa sekunde moja,yaani mimi mwenyewe ningemfanyia umafia na kumpa mapigo ambayao angejuta kuumbwa.

Mwanaume ni Yesu kristo tu..amekuja amevaa mwili na akajidhihirisha kwetu na akafanya yake huku Duniani kisha akaondoka.

Huyu shetani vip mbona anajificha?
jesus is king all the time ,our GOAT
 
Ila dini, hujui kua baada ya Mungu basi Shetan ndo superpower tena pengine wanalingana kabisa?
Yesu mwana wa Daudi mtoto wa juzi unamlinganisha na Masenior.
 
Baba mtumishi Iceberg9 toa neno kidogo hapa, naona binadamu wa sikuhizi tumekuwa na uhuru sana wa kusema🥲
wanaomungolea vibaya mwanakondoo yesu Kristo na kudhihaki kazi ya Mungu muumba wa hii dunia wanakula kichapo kimyakimya ni vile hawarudi mtandaoni na kukiri wakikosea kumdhihaki Mungu,lakini wakimrudia na kutubu atawasamehe maana yeye ni mwingi wa rehema ,anza siku yako japo kwa kusema ahsante Mungu baba kwa kunipa afya njema na mapito ya dunia yasiwe fungu langu hakika atatenda
 
Hizi sheria za uumbaji wa ulimwengu zina kasoro, haiwezekani JITU linaua watu maelfu kwa maelfu wasio na hatia still bado linadunda mtaani, kweli.
 
Neno: Luka 10:19 Nimewapa mamlaka ya kukanyaga nyoka na nge na kushinda nguvu zote za yule adui; wala hakuna kitu cho chote kitakachoweza kuwadhuru​

​

​

Waefeso 6:12​

Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.​

mimi na nyumba yangu itamtumikia Mungu milele

Yoshua 24:15 Nanyi kama mkiona ni vibaya kumtumikia Bwana, chagueni hivi leo mtakayemtumikia; kwamba ni miungu ile ambayo baba zenu waliitumikia ng'ambo ya Mto, au kwamba ni miungu ya wale Waamori ambao mnakaa katika nchi yao; lakini mimi na nyumba yangu tutamtumikia Bwana
 
wanaomungolea vibaya mwanakondoo yesu Kristo na kudhihaki kazi ya Mungu muumba wa hii dunia wanakula kichapo kimyakimya ni vile hawarudi mtandaoni na kukiri wakikosea kumdhihaki Mungu,lakini wakimrudia na kutubu atawasamehe maana yeye ni mwingi wa rehema ,anza siku yako japo kwa kusema ahsante Mungu baba kwa kunipa afya njema na mapito ya dunia yasiwe fungu langu hakika atatenda
Kila mtu anachagua hatma yake! Kachagua kumsifia baba yake, haina budi kumuacha aende zake..
 
Hapo vip!
Nimetafakari sana juu ya Shetani anavyojificha katika ulimwengu wa roho na kuwatenda watu kwa hila kwa maarifa na kujificha...hii ni ishara ya uwoga,udhaifu,unafiki na uwongo.

Sidhani kama akija Duniani na kwa wanadamu walivyokuwa na hasira naye kama watamuacha ata akae kwa amani kwa sekunde moja,yaani mimi mwenyewe ningemfanyia umafia na kumpa mapigo ambayao angejuta kuumbwa.

Mwanaume ni Yesu kristo tu..amekuja amevaa mwili na akajidhihirisha kwetu na akafanya yake huku Duniani kisha akaondoka.

Huyu shetani vip mbona anajificha?
kwa maana nyingine roho mtakatifu naye miyeyusho tu maana naye kajificha na si wa dhahiri
 
Back
Top Bottom